Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini mwanza. Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Life ilikuwa inaboa sana, and meaningless. Jumapili na ijumaa walikuwa wanaenda kukutana na kuabudu wapi? Weekends walikuwa wanaenda kuona band ya mziki wa wasanii gani? Walienda window...
0 Reactions
124 Replies
13K Views
Girls around 18-27 ages are welcomed. For a casual parties PM. So soon as possible
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Miaka kadhaaa kwenye ndoa but huwa sielewi kwanini waifu anapenda kuvaa boxer zangu, nimehsajaribu kuhoji but hanipi majibu ya kuridhisha nashangaa kama hii inatokea kwangu tu au kwa wengine pia.
0 Reactions
76 Replies
12K Views
Wadau nisaidieni. Inakuaje au unafanyaje ili uweze kujitambua! Kwa maana nyingine, mtu anaejitambua yukoje? maana kuna watu wengine wana maringo kinoma, je ni mojawapo ya sehemu/dalili za...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habarini wana JF, Kuna binti nliwahi kuwa nae katika mahusiano kwa takribani mwezi mmoja, ilikuwa ni mwezi wa 3 mwaka huu. hata hivyo niliondoka eneo hilo na kwenda kimasomo na wakati nipo...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Jumamosi hii nimehudhuria ibada ya ndoa iliyokuwa inafungwa katika kanisa moja hapa Jijini Dar-Es-Salaamu. Ibada ilienda na ukafika wakati bwana arusi akaambiwa na kasisi kufunua kipande cha...
2 Reactions
55 Replies
8K Views
Hi guys, utajiskiaje umemwacha jamaa mwenye vision but hana mkwanja mambo bado hayajawa sawa halafu unamkubali jamaa ambae yupo fresh yaan ile full tv...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Kila ninapopita nakuta watu wako bize na usafi kuitikia wito wa JPM. Lakini je usafi wa miili yenu je? soxi,boxer kukata kucha kwa sie wanaume ni adhabu, wakina dada ndo balaa zaidi. Kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dear Mwanatumu, some people told me that am insane but they don't know am madly in love. With you they keep on talking about us because they ain't us we will always love each other. No matter...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mambo ya pwani guu la kushoto lavishwa cheni, dume zima shanga kiunoni urembo gani? we rijali Vyanini vidani bora cheni matobo mpaka puani, au we mambo swafi hatuelezani vijana mnapenda sukari...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Hatimaye binti yangu mrembo na ambaye najua iwe isiwe lazima aje kuwa miss Tanzania, kisha miss Universe na baadae miss World aitwae baby Charlotte asubuhi hii hii ametoka kuvunja ungo...
2 Reactions
138 Replies
13K Views
hi everybody.... Kiukweli maisha yana formula, na kuna vitu ambavyo lazima ufanye ili utoke. baadhi ni; 1. Kumuomba MUNGU 2. Kufanya kazi kwa bidii 3. Kuwa na roho ngumu 4. Kuwa mvumilivu...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Nimeipokea toka rafiki yangu akitaka ushauri, Nimekuwa katika maisha ya ndoa na mke wangu sasa ni miaka saba tumejaaliwa kupata watoto wawili mapacha wote ni wa kike wana umri wa miaka sita mimi...
5 Reactions
147 Replies
30K Views
Nyumbani naishi na mdogo wangu wa kiume ambae ana miaka 15 jana usiku alinichanganya kiasi cha Kuwa na wasiwasi na future yake. Nimerudi kiasi cha saa tano usiku nikakuta wamelala tayari baada...
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Habari wana jamvi, nilikuwa kifungoni nimerudi upya Juzi kati nilimpeleka jamaa yangu mmoja nyumbani kwao kabisa alikwenda kuchukua fomu za Ubunge sasa jirani na kwao kuna mganga wa kienyeji...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Habarin wanajf,iko hivi niko na mpenz wangu tuko nae kwa muda wa miez nane sasa,asa juzi kati niliweka picha ya mdogo wake wa kiume profile picture wasap na status niliweka love sign tangu hapo...
0 Reactions
112 Replies
11K Views
Habari zenu wanajamii forum, Leo ngoja niongee na kina dada na tabia zao za ubahili. Yaani utakuta hata mpenzi wako anakuwa mgumu kukusaidia inapotoke shida fulani lakini wao ni wepesi sana...
0 Reactions
164 Replies
14K Views
Mimi ni natafuta mwanamke aliye tayari kuzaa bila ndoa kama upo tuwasiliane vigezo masharti kuzingatiwa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WHAT A HUSBAND NEEDS FROM A WIFE IS NEVER SEX. By: B.I.C. Abeiku Okai. Sex is an important element in marriage and until there is sexual intercourse between a husband and a wife, the marriage is...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom