Sikujua kama ni mke wa mtu

Sikujua kama ni mke wa mtu

Msichoke

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
573
Reaction score
402
Wanajamvi,

Toka ndani ya moyo wangu niliapa sitokuja kuzini na mke wa mtu,miezi 6 iliyopita nilikutana na binti moja mtaani hapo nilipohamia nilitokea kumpenda sana ndipo siku moja nikafanikiwa kukaa nae chini kumpa yanayonisibu moyoni.Kama kawaida akaniambia usijali nipe muda nikatafakari, haikupita wiki mrembo akatinga kwangu bila cha kupiga simu wala nini,mara TANESCO nao umeme wakakata.

Basi tangu siku hiyo maisha yakaendelea, kilichonishtua zaidi kwa mrembo huyu kila nikimuomba tutwange selfie japo tujione tunavyolandana hataki, siku moja akanipigia simu akaniambia kuanzia nisimpigie simu usiku eti babake yupo nyumbani hivyo tuwasiliane mchana au usiku yeye ndio ataanza nitafuta.

Siku mbili baadae mida ya saa 4 usiku mrembo akaja kwangu akiwa simpo tu nusu kulala nusu kuamka kufika ndani akadai amemiss dyudyu ikabidi nimpe haki yake wakati anaondoka ikabidi nimuulize umetokaje kwenu ili hali baba yupo akaniambia amelewa sana hajitambui daah nikachukulia poa tu.Baada ya wiki siku moja mrembo akaja kwangu lakini siku hiyo hakuwa na furaha sana baada ya kumdadisi kwa maswali ikabidi anipe ukweli ulioupasua moyo wangu.

Eti yule alieniambia ni baba kumbe ni mume wake ila siku nyingi akai nyumbani kwa mwezi anarudi baada ya siku 24 toka huko mgodini anakofanya kazi na hata akiwa Off yeye ni pombe kwenda mbele na kutanua na marafiki Off ikiisha anasepa hivyo ananiomba nisimuache sababu mimi ndio faraja yake,akaniambia mumewe hana muda nae hivyo uwepo wangu kwake unaongeza thamani ya maisha.

Kwa kweli niliumia sana maana kichwani nilishaanza kuamini nimempata msichana ambae atakuwa mke wangu! Wanajamvi ebu nishaurini nifanyeje nahisi nikumuacha roho itaniuma nikiona mshkaji mwingine anagegeda maana nilichogundua huyu mrembo yupo desperate na ndoa yake, bt nafsi yangu haipo tayari kuendelea kuzini na mke wa mtu nahitaji msichana ambae yupo single ili tuje kuwa mume na mke baadae lakini mwili umegoma kumuacha mrembo huyu maana tuliyoyafanya sitamani kuyamiss ila jamaa (Chapombe) akijua kama mie ndio nagegeda papuchi aliyoitolea mahari itakuwaje?

Ushauri wenu tafadhari najua hii ni hatari niame mtaa sijui?
 
mke wa mtu ni sumu ndugu yangu,achana nae kama unataka kuishi bila bughudha maana mume wake akijua atakachokuja kukifanya kwako hutokuja kukisahau.
 
Endelea nae ila kila uwapo usikose kakichupa ka KY jelly just in case urejuzi disaster
 
Wanajamvi toka ndani ya moyo wangu niliapa sitokuja kuzini na mke wa mtu,miezi 6 iliyopita nilikutana na binti moja mtaani hapo nilipohamia nilitokea kumpenda sana ndipo siku moja nikafanikiwa kukaa nae chini kumpa yanayonisibu moyoni.Kama kawaida akaniambia usijali nipe muda nikatafakari,haikupita wiki mrembo akatinga kwangu bila cha kupiga simu wala nini,mara TANESCO nao umeme wakakata.Basi tangu siku hiyo maisha yakaendelea,kilichonishtua zaidi kwa mrembo huyu kila nikimuomba tutwange selfie japo tujione tunavyolandana hataki,SIKU moja akanipigia simu akaniambia kuanzia nisimpigie simu usiku eti babake yupo nyumbani hivyo tuwasiliane mchana au usiku yeye ndio ataanza nitafuta.
Siku mbili baadae mida ya saa 4 usiku mrembo akaja kwangu akiwa simpo tu nusu kulala nusu kuamka kufika ndani akadai amemiss dyudyu ikabidi nimpe haki yake wakati anaondoka ikabidi nimuulize umetokaje kwenu ili hali baba yupo akaniambia AMELEWA SANA hajitambui daah nikachukulia poa tu.
Baada ya wiki siku moja mrembo akaja kwangu lkn siku hiyo hakuwa na furaha sana baada ya kumdadisi kwa maswali ikabidi anipe ukweli ulioupasua moyo wangu.Eti yule alieniambia ni baba kumbe ni mume wake ila SIKU nyingi akai nyumbani kwa mwezi anarudi baada ya SIKU 24 toka huko mgodini anakofanya kazi na hata akiwa Off yeye ni pombe kwenda mbele na kutanua na marafiki Off ikiisha anasepa hivyo ananiomba nisimuache sababu mimi ndio faraja yake,akaniambia mumewe hana muda nae hivyo uwepo wangu kwake unaongeza thamani ya maisha.Kwa kweli niliumia sana maana kichwani nilishaanza kuamini nimempata msichana ambae atakuwa mke wangu! Wanajamvi ebu nishaurini nifanyeje nahisi nikumuacha roho itaniuma nikiona mshkaji mwingine anagegeda maana nilichogundua huyu mrembo yupo desperate na ndoa yake,bt nafsi yangu haipo tayari kuendelea kuzini na mke wa mtu nahitaji msichana ambae yupo single ili tuje kuwa mume na mke baadae lakini mwili umegoma kumuacha mrembo huyu maana tuliyoyafanya sitamani kuyamiss ila jamaa (Chapombe)akijua kama mie ndio nagegeda papuchi aliyoitolea mahari itakuwaje?Ushauri wenu tafadhari najua hii ni hatari niame mtaa sijui!!!?

nioe mimi
 
mke wa mtu ni sumu ndugu yangu,achana nae kama unataka kuishi bila bughudha maana mume wake akijua atakachokuja kukifanya kwako hutokuja kukisahau.

Kaka najua hilo ndio maana mwanzo nimesema sipendi wake za watu lakini huyu alinificha hadi ninapogundua tayari nimesha muweka moyoni nifanyeje ili nimkimbie maana yupo free sana mumewe hayupo home
 
Mbona hata humu wapo walio wasioolewa kwanini ujipe mashaka
 
Aisee we endelea tu, jimwayemwaye kijana, siye tunafurahia kwani tunakaribia kupata episode nyingine ya mtu kugeuzwa na kupiga picha kibao!
 
Nahofia uhai wako na kudharilishwa

Tafuta wako ujilie vyako Bila Shaka umenisoma

Achana naee
 
Kaka najua hilo ndio maana mwanzo nimesema sipendi wake za watu lakini huyu alinificha hadi ninapogundua tayari nimesha muweka moyoni nifanyeje ili nimkimbie maana yupo free sana mumewe hayupo home

Okay, kwa hiyo unataka sisi tufanyeje?

Kwa sababu umepewa ushauri wa kuachana naye unaukataa eti umeshamweka moyoni.

Endelea naye, yakikukuta ya kukuta tuletee mrejesho.
 
Be a man stay focused na tayal ushajua kuwa huyo ni mke wa mtu. Hivi unajua sifa ya mtu kuitwa mwanaume ni zaid ya kuwa na jinsia ya kiume ili uitwe mwanaume ni lazima uwe na uwezo wa kuchukua maamuz sahih na kwa wakati muafaka no matter what sio kulia lia na Jambo dogo kama hili watu wengne sijuw mpoje
 
Kwasababu umeshajua ni mke wa mtu ni vema kama utaachana naye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom