Mchumba alitoroshwa akaolewa, sasa anataka nikamtoroshe

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Wakuu,

Mimi ni mvulana (26) nimehitimu chuo kikuu cha UDSM fani ya Elimu na Sanaa (BAED). Mwaka 2011 nilimpa mimba mpenzi wangu nikiwa kidato cha sita naye akiwa cha tatu, akaacha shule nikamuahidi kumuoa, lakini baadaye akaona nimechelewa akawa ametoroshwa na mwanaume fulani kuja Dar.

Cha ajabu kwa sasa amezalishwa na ananitaka mimi nimtoroshe tena wakati nyumbani kwao mumewe anajulikana na wako naye hadi leo. Na mimi nimepata mchumba mwingine. Nifanyeje maana naheshimu ndoa yake na pia yeye anakuja hadi kwetu.
 
Akili zako kama za nyumbu tu yani hilo jambo ndiyo la kuomba ushauri kusumbua jukwaa tu!
 
Wakuu,

Mimi ni mvulana (26) nimehitimu chuo kikuu cha UDSM fani ya Elimu na Sanaa (BAED). Mwaka 2011 nilimpa mimba mpenzi wangu nikiwa kidato cha sita naye akiwa cha tatu, akaacha shule nikamuahidi kumuoa, lakini baadaye akaona nimechelewa akawa ametoroshwa na mwanaume fulani kuja Dar.

Cha ajabu kwa sasa amezalishwa na ananitaka mimi nimtoroshe tena wakati nyumbani kwao mumewe anajulikana na wako naye hadi leo. Na mimi nimepata mchumba mwingine. Nifanyeje maana naheshimu ndoa yake na pia yeye anakuja hadi kwetu.

Una elim ya chuo kisha unaomba ushauri kwa suala hilo
 
Ulimpa mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu? Yeye akaacha shule wewe ukaendelea? Hadi hapo dhamira haikusuti?

Labda ungeweka thread kuomba ufafanuzi namna ya kujipeleka kuripoti suala lako kwenye vyombo vya sheria uchukuliwe hatua

Hiyo digrii yako ya elimu sidhani imekaa kichwa stahiki
 
Huyo hakutoroshwa alitoroka mwenyewe, ukimchukua mwingine atadai amemtorosha tena.

Ana tabia mbaya huyo kimbia mbali.

Alikuzalia mwanao?

Kimbia usiingilie ndoa na ukidhania unampenda pole yako ukikaa nae masaa 24 tu huku ukifikiri ni wa milele utajuta....

Kazania mchumba wako oa mwache akome.
 
We jamaa unahishushia p yako kuomba ushauri hata kwa mambo Madogo km hayo. Shughulisha bongo yako buanaaaa
 
Kila siku nasema,tatizo la bongo siyo elimu tu.Hekima na busara zimepotea kabisa. Ubongo wa wengi uko naked
 
Ulitakiwa kusoma Bachelor of Arts in Common Sense (BACS) kwanza, brother.
 
Sikujua kumbe BAED haisaidii critical thinking kwa mambo madogo kama haya.. Pole sana maana mmekataa Elimu Elimu Elimu
 
Mulugo has left a disastrous impacts in our education sysyem.

If you are a university graduate and you cant make decision on your own about those simple issues there is no way this country will achieve anything.

Wewe na ndugu zzako wa kijijini ambao hawakwenda shule mna tofauti gani,hii ni aibu.
 
Aisee unatuzalilisha sana vijana wenzio lakin pia kama ww mwalim unashindwa kuchukua hatua sahihi juu ya jambo dogo kama hili sijuw wanafunz wako wakoje ningekuwa rais wa jmt ningekufuta kaz mara moja
 
Achana nae atakuja kukusumbua.

Mke wa mtu wa nini
 
Haya maneno dhahiri hii hoja sio ya kuokota...

Mshika mawili siku zote moja humponyoka...

Hata ukifanya kosa ukaamua kuongopa...

Chagua moja, sio unajistukia unagota...

Kugangamala na kusota ili kutoka...

Au kulala na kuota kuwa unafoka...

Chagua moja...

Kuamua kungoja...

Au kutumia kinga kwa kila tendo moja...
 
Wakuu,

Mimi ni mvulana (26) nimehitimu chuo kikuu cha UDSM fani ya Elimu na Sanaa (BAED). Mwaka 2011 nilimpa mimba mpenzi wangu nikiwa kidato cha sita naye akiwa cha tatu, akaacha shule nikamuahidi kumuoa, lakini baadaye akaona nimechelewa akawa ametoroshwa na mwanaume fulani kuja Dar.

Cha ajabu kwa sasa amezalishwa na ananitaka mimi nimtoroshe tena wakati nyumbani kwao mumewe anajulikana na wako naye hadi leo. Na mimi nimepata mchumba mwingine. Nifanyeje maana naheshimu ndoa yake na pia yeye anakuja hadi kwetu.

Pasua mkubwa weee in Munawar voice
 
Back
Top Bottom