Jamani nahitaji partner wa kwenda nae kesho tarehe 22/12/15 kwenye send off nina kadi ya double na mie npo alone. Hvo aliye tayari anipm. Faster. Mitaa ya tank bovu ndo itafanyika.
Regard.
Katika Maisha ya getto kwa mwanaume yeyote kuna mambo ambayo huwa ni kero, na wengi hatuwezi kuyafanya, ambayo ni kama:-
1. Kufanya usafi wa ndani kama kufagia
2. Kupika
3. Kufua
4. Kutandika...
Habari wapendwa katika bwana,
Binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini...
** MKASA MZITO **
Ilikuwa ni jioni moja baada ya kumaliza kazi zangu niliamua kwenda katika Hotel moja maarufu hapa Jijini Mtwara ili kupumzika nikipata vinywaji pmj na kuongea na jamaa zangu huku...
MKASA WA KUSISIMUA NA KUHUZUNISHA:
** MKASA MZITO **
Ilikuwa ni jioni moja baada ya kumaliza kazi zangu niliamua kwenda katika Hotel moja maarufu hapa Jijini Mtwara ili kupumzika nikipata...
Natumai u mzima sana wa afya Dada yangu mpendwa, mie ni bukheri wa afya namshukuru MUNGU kwa kutujalia uzima mpaka sasa tupo mwishoni mwa mwaka.Dada yangu mpendwa,naandika waraka huu nikiwa na...
Wasalaam wanajamii forum wote.
Leo ni mara yangu ya kwanza kuleta mada hapa na ninakiri kuwa nilikuwa msomaji tu wa kawaida.
Nina tatizo kubwa linalonisumbua kwa sasa. Mimi ni mwanamke...
Salaam.... bila ya kuzungusha maneno niko serious natafuta rafiki wa kike wa umri uliotajwa hapo juu lengo ni kuwa naye karibu na kuelekezana maisha na mambo mengine yatakayojiri kupata yatokanayo...
SIJUI NI NDOTO AU UKWELI MI SIJUI....
Ndoto hii ilianza kunitokea Mwanzoni mwa mwezi Huu wa Tatu" mpaka sasa imefikia mahali ambapo mimi inanipa wakati mgumu kuamini kile kinachoendelea.
Kwa...
JE WEWE UPO KWENYE KUNDI GANI KATI YA HAYA?
Kuishi ni hatari, ndio kila siku tunakutana na hatari mbalimbali, lakini hatuachi kuishi.Katika maisha tunakutana na hatari mbali mbali, kuna ambazo...
Habari zenu wana MMU,
Nimekutana na suala hili hii ni mara ya pili, utakuta mtu anaenda hospitali akiwa na makonfidensi kibao, mwisho wa yote huishia ukingoni.
Nikiwa na maana mtu umeenda...
Za majukumu wanabodi?
Leo, jioni hii nilikuwa narudi home, kuna bidada mmoja alikuwa kavaa kisketi hicho kuanzia magotini hadi karibu theluthi ya mapaja yote ilikuwa ni kivutio cha abiria...
Hawayuni?
Kipindi hiki cha likizo ndefu Kenya na haswa watu wanaposherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya watu wengi hupenda kutembea baharini kama Mombasa.
Wengi hupenda kuogelea na...
Nawasalimu,
Haiwezekani baba mkwe kusema nimkopeshe hela halafu harudishi, karibia mwaka mzima sasa, mimi sina pesa za kuchezea
Haiwezi kuvuka 2 month kabla ya kupiga simu na kudai nimpe laki...
Habari zenu wana JF,
Yapata mwaka mmoja tangu kuachana na aliyekuwa mpenzi wangu.Tulipendana sana na tuliishi maisha ya furaha mda wote hatukuwai kukwaruzana na hii ni kutokana na kila mmoja wetu...
Habari za asubuhi wana jamvi.
Naleta kwenu utata huu unaoisumbua akili yangu, wengi mwaweza kuona kama jambo dogo lkn kwangu limekuwa mzigo mkubwa naomba msaada wa mawazo ili mahusiano yangu...