Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Habari zenu wana MMU,
Nimekutana na suala hili hii ni mara ya pili, utakuta mtu anaenda hospitali akiwa na makonfidensi kibao, mwisho wa yote huishia ukingoni.
Nikiwa na maana mtu umeenda kupima VVU, ikifika muda wa kupata majibu unakuta mtu yule ameshakimbia, kulikoni? Hii husababishwa na nini, uoga au kutokujiamini na anachokifanya?
Leo nilikua hospitali ya Mnazi Mmoja, jamaa kaja kuchek afya wakati wa kutakiwa apokee majibu hayupo. Inakuaje?