Kinadada hawasaidii kusukuma gari wanakuangalia au wanatafuta utaratibu mpya

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,903
7,813
Utakua nae kwenye safari ikitokea gari ya kusukuma utajiju hao ndvyo walivyo hata akiwa na nguvu nying
 
kustua tu liwake sote tufike kuna tabu gani .Mbona wanabeba ndoo wanabeba mikoba kusonga ugali na kutubeba

tatizo tuko tofauti.kuna masista duu na wakawaida na wa kijijini.so huyo wa tatu labda anaweza kusaidia,wapili ataweza bt mpaka akiamua na sio mbele ya watu au barabarani...huyo wa kwanza aisee hapana kabisa!
 
Na we upo kundi gani ktk hayo 3
 
wapo tayari kupanda bodaboda alimradi asiwe kwenye hilo eneo hata kama kuna wasukumaji. anaweza kuuchuna garini .Kwao bora vits inayoenda kuliko benz iliyopata dharurag. Wao aibu kusukuma gari hadharani ila kisamvu anatwanga.kabati mttasogeza nae
 
Sijui wanaonaga aibu gani..utawaona na visimu vyao kwa pembeni wanajidai wanachat apo wanatamani ardhi ipasuke
 
Back
Top Bottom