Natafuta rafiki wa kike miaka 38 hadi 48

chapachapa

Member
Jan 14, 2013
93
21
Salaam.... bila ya kuzungusha maneno niko serious natafuta rafiki wa kike wa umri uliotajwa hapo juu lengo ni kuwa naye karibu na kuelekezana maisha na mambo mengine yatakayojiri kupata yatokanayo mwenye nia safi tu karibu PM dini yoyote kabila lolote
 
Mhhh Chapachapa, hata mimi natamani kujua umri wako Mkuu maana naweza kukusaidia hapa.

Either umechapa wengi wenye umri sawa na wako na hujaridhika na unataka kuchapa wa umri wa juu yako AU vice versa might be true.
 
Duuh chapachapa serious naitaji rafiki Wa kiume mtu mzima
Ila sio kimapenzi kiviile just friend Wa kawaida
Siwezi kukudanganya ila miaka 38 sina nipo early 30
Ila napenda mtu mkubwa kama wewe sipati
 
Duuh chapachapa serious naitaji rafiki Wa kiume mtu mzima
Ila sio kimapenzi kiviile just fri
end Wa kawaida
Siwezi kukudanganya ila miaka 38 sina nipo early 30
Ila napenda mtu mkubwa kama wewe sipati

Kwa umri wako na madhumuni uliyoainisha sio mbaya lakini lengo langu ni kuwa na wa miaka 38 hadi 48
 
Mhhh Chapachapa, hata mimi natamani kujua umri wako Mk
uu maana naweza kukusaidia hapa.

Either umechapa wengi wenye umri sawa na wako na hujaridhika na unataka kuchapa wa umri wa juu yako AU vice versa might be true.

,...... Isiwe taabu kujua umri wangu nakutajia kuwa Nakaribia 50
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom