Mchungaji wa kanisa ananichukulia mke wangu

Mchungaji wa kanisa ananichukulia mke wangu

okonkwo jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
2,419
Reaction score
1,739
Habari wapendwa katika bwana,

Binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini mke wangu ni mrokole,baada ya kuhamia hapa kuna mchungaji wa kirokole alianza kunizoea na kunishawishi niwe nasali kwa kanisa lake,nilikata lakini mke wangu alianza kusari na kujenga mazoea na huyo mchungaji,na kumfanya awe anakuja kufanya huduma ya maombi kila siku.

Kwa kuwa mimi sikujua lolote mazoea yameendelea na hata wakati mwingine ninapokuwa niko kwa kazi zangu huyu mchungaji huja na kushinda kwangu na mara nyingine majirani waneniambia kuwa mke wangu humpa maji ya kuoga na ukizingatia pastor huyu ni kijana wa 30's hana mke,Jambo lililonisitua nikuwa juzi mke wangu aliniambia kuwa anaenda kwa maombi,baada ya muda rafiki yangu tunayefanya kazi pamoja alinipgia simu kuwa kamuona mke wangu anatoka guest na huyo mchungaji,nilipomuuliza wife alikataa na sasa hakuna amani tena,

Je ni nifanye nini juu la hili wapendwa.
 
Sasa wewe unapewa mtonyo halafu unamuambia huyo wife wako unadhani atakubali kuwa alikuwa gesti???
Wewe ulitakiwa mwenyewe ufuatilie hilo suala!
Sasa umesababisha hao wazinifu wawe makini zaidi,!
 
Hahaaa uliambiwa mchungaji anakuja kwako anapewa maji ya kuoga
hukustuka?
umestuka kusikia wako gesti?
subiri mkeo aseme ana mimba
na mchungaji aje kuleta maombi ili mtoto akizaliwa awe 'mchamungu'
ikiwezekana awe 'mchungaji' pia
 
fanya uchunguzi zaidi utawabaini ww mwenyewe kwani mapenzi hayana siri
 
Kwanza fuatilia ili ujiridhishe pasina shaka kwamba kweli mkeo anachepuka.

Ni vizuri ukamzuia mkeo kuendelea "kuokoka" japo kwa Muda. Hakuna ulevi mbaya duniani kama kulewa dini. Ulevi huu huwaondolea watu wengi uwezo wa kufikiri kwa mantiki.
 
mu ue koz wanafundishwa mshahara wa dhambi ni mauti....kwa hiyo mtoe roho hilo neno litimie
 
Pole Mwanangu! PAPUCHI ni kitu hatari Sana! Kumbuka Malaika waliacha Makao Yao mbinguni na kuja duniani kwaajili ya k.u.m* sembuse huyo mtumishi ndg yangu?? Tafuta mnyonge na wewe UMDIDIMIZE NAO!
 
Watazidi kufanya Kwa Siri,hukutakiwa kuonyesha kuwa umeshtuka hadi utakapojiridhisha. Labda mapepo yalijificha sehemu za Siri akaamua kwenda kuyatolea huko guest.
 
Pole Mwanangu! PAPUCHI ni kitu hatari Sana! Kumbuka Malaika waliacha Makao Yao mbinguni na kuja duniani kwaajili ya k.u.m* sembuse huyo mtumishi ndg yangu?? Tafuta mnyonge na wewe UMDIDIMIZE NAO!
Hahahahaha dah we noma sana mkuu
 
pole sana, ila ulikurupuka. lakini muombe mungu sana akupe ujasiri. pia nenda kwenye mitandao upate maongezi yao yalivyokuwa yakifanyika.
 
Hahaaa uliambiwa mchungaji anakuja kwako anapewa maji ya kuoga
hukustuka?
umestuka kusikia wako gesti?
subiri mkeo aseme ana mimba
na mchungaji aje kuleta maombi ili mtoto akizaliwa awe 'mchamungu'
ikiwezekana awe 'mchungaji' pia
Maombi yalikuwa moto moto mpaka jasho likatoka.

Ikabidi awekewe maji.
 
Dawa ya moto ni moto. tafuta njemba tatu za ukweli tia timu home kwake 071 kazini
 
Back
Top Bottom