Wanaume kukosa uaminifu, chanzo ni wanawake

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
10,080
Reaction score
15,007
Wanawake kutwa kucha kulalamikia wanaume sio waaminifu!! Charity begins at home, ni wanawake wangapi wenye mahusiano na wanaume wenye mahusiano na wanawake wenzao huku wao wakijua tena in worst cases watu wenye familia?

Why should it be wanaume tu kulaumiwa, kwa nini wanawake wasianze wao kwa kujiheshimu na kuheshimu mahusiano ya wanawake wenzao?

Hata kwa kesi ambazo mwanamke anaingia kwenye mahusiano na mwanaume bila kufahamu kuwa the man is engaged somewhere, pia ni uzembe.

Alifanya juhudi gani kuhakikisha anajua relationship status ya mwanaume?

Je, alikataa mahusiano kabla ya ndoa, kwa sababu kama kila mwanamke angesubiri ndoa, na kila mwanamke angekataa mahusiano kabla ya ndoa cases za cheating zitapungua sana.

Mzigo wa kukosa uaminifu ni wetu sote, tushirikiane kuutokomeza.
 
Kwanza sikubaliani na wewe, Wanaume pia ni tatizo tena changamoto hasa kwa wakati huu, Wanaume hawana uaminifu hawathamini familia zao wanathamini vimada, hawatusifii tukivaa vizuri wanasifia wapita njia, atakukataza kuingia jf yeye anakesha hapahapa tena mmu hasa ndio ukurasa wake, kwaiyo wanaume ni tatizo kubwa tu mnapaswa kuwa na moyo wa upendo kama ambavo sisi wanawake tunafanya, mkikosa kazi tunawalea na kamshahara kadogo hakohako, lakini kwa mwanamme, mwanamke akikosa kazi ndio mwanzo wa mwanyanyaso
 
Avatar yako ni nzuri sana!
Natamani hilo chumu/kiss lingekuja kwangu!
 
hivi nyie wanaume mnataka kujifanya vimungu mtu?

  • sisi wanawake tuwakatikie kiuno mpate raha..
  • tuwapikie chakula kizuri
  • tuwafulie nguo na manjonjo kibao

bado swala la kuheshimu kidudu chako niwe tena na jukumu hilo aisee hapana kitembeze kikiwa kimesimama ili kila papuchi iliyoko mbele yake iingie.... huu ni upuuzi jianaume nzima badala ya kufikiria kufanya kitu gani iingize kipato inafikiria kutafuta papuchi .... NYAMBAFU ZENU...
 
Hata kama unasema wanaume ndio chanzo cha tatizo, lazima tukubaliane kuwa wanawake ndio wanaoendeleza hili tatizo. Jiheshimuni tuone kama yatakuwepo.
 
Wanaume hawakwepi lawama katika hilo mkuu,anaanzaje kutafuta/ku approach mwanamke mwingine wakati ana familia yake tayari? Tena wanatumia nguvu hasa kuficha ukweli kuwa wana mahusiano/familia.
 
Avatar yako ni nzuri sana!
Natamani hilo chumu/kiss lingekuja kwangu!

Twih twih twih aaah kumbe ndio maana kuna jamaa amekazana PM hapa mara nafanya kazi sinza, mara nina kampuni binafs, hehehe inawezekana kavutiwa na Avatar
 
Huu mjadala hamuwezi kufikia mwafaka. Na mada nyingi sana za humu MMM zinalenga hapoooooooooooooooo
 
hivi nyie wanaume mnataka kujifanya vimungu mtu?
  • sisi wanawake tuwakatikie kiuno mpate raha..
  • tuwapikie chakula kizuri
  • tuwafulie nguo na manjonjo kibao
bado swala la kuheshimu kidudu chako niwe tena na jukumu hilo aisee hapana kitembeze kikiwa kimesimama ili kila papuchi iliyoko mbele yake iingie.... huu ni upuuzi jianaume nzima badala ya kufikiria kufanya kitu gani iingize kipato inafikiria kutafuta papuchi .... NYAMBAFU ZENU...
atakae sikia tangazo hili amuarifu na mwenzie habari ziwafikie wanaume wote waliofikwa na msiba wa michepuko.
 
hivi nyie wanaume mnataka kujifanya vimungu mtu?

  • sisi wanawake tuwakatikie kiuno mpate raha..
  • tuwapikie chakula kizuri
  • tuwafulie nguo na manjonjo kibao

bado swala la kuheshimu kidudu chako niwe tena na jukumu hilo aisee hapana kitembeze kikiwa kimesimama ili kila papuchi iliyoko mbele yake iingie.... huu ni upuuzi jianaume nzima badala ya kufikiria kufanya kitu gani iingize kipato inafikiria kutafuta papuchi .... NYAMBAFU ZENU...

Ki-biological hilo ndio jukumu hasa la mwanaume, kutafuta mating opportunities.

- Mwisho wa siku, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, kwanini wakati anajua kuwa huyu mwanaume ana familia anakubali
 
Kwanza sikubaliani na wewe, Wanaume pia ni tatizo tena changamoto hasa kwa wakati huu, Wanaume hawana uaminifu hawathamini familia zao wanathamini vimada, hawatusifii tukivaa vizuri wanasifia wapita njia, atakukataza kuingia jf yeye anakesha hapahapa tena mmu hasa ndio ukurasa wake, kwaiyo wanaume ni tatizo kubwa tu mnapaswa kuwa na moyo wa upendo kama ambavo sisi wanawake tunafanya, mkikosa kazi tunawalea na kamshahara kadogo hakohako, lakini kwa mwanamme, mwanamke akikosa kazi ndio mwanzo wa mwanyanyaso

naungana nawe laussane.. wanaume sisi ni majanga!!

ila na nyie mpunguze mitikisiko na mikiki ndani ya ndoa!

mwanamke yuko radhi ambanie mumewe na kudai anaumwa seriously!

lakini baadae akatoka akaenda kwa bwana excel akakunjwa kwa style zoooote bila kujali kama anaumia ama la!!

hivi huwa mnaingia kwenye mahusiano kwa kulazimishwa? uhuru si mmeshapewa lakini?
 
Last edited by a moderator:
mwanamke umleavyo, ndivyo akuavyo!!!
 
ki-biological hilo ndio jukumu hasa la mwanaume, kutafuta mating opportunities.

- mwisho wa siku, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, kwanini wakati anajua kuwa huyu mwanaume ana familia anakubali

na kwa nini na wewe unajua una mke/ mpenzi unatongoza? tafuta hela acha ujinga wa mating opportunity ujinga huuu wewe
 
Wanaume hawakwepi lawama katika hilo mkuu,anaanzaje kutafuta/ku approach mwanamke mwingine wakati ana familia yake tayari? Tena wanatumia nguvu hasa kuficha ukweli kuwa wana mahusiano/familia.

Ki-biological hilo ndio jukumu hasa la mwanaume, kutafuta mating opportunities
 
...jianaume nzima badala ya kufikiria kufanya kitu gani iingize kipato inafikiria kutafuta papuchi .... NYAMBAFU ZENU...
Kuwa na kipato inaweza kuwa chanzo cha matatizo katika ndoa. Mwanaume ukiwa na kipato kikubwa unakuwa na kazi kubwa sana ya kukwepa mitego ya mabinti! Inahitaji uvumilivu na uaminifu wa hali ya juu (kwa msaada wa Mungu!) kuweza kukwepa vishawishi vyote hivyo! Inafanana sana na mwanamke akiwa mrembo/mzuri wa kupindukia, vishawishi pia vinakuwa vingi! Kama mtu ana 'mi-tamaa' iliyopindukia anaweza kujikuta kila wiki anabadili wanawake pamoja na kuwa yupo kwenye ndoa! Wanawake wana mbinu na mitego mibaya sana....wanaume wengi inawawia vigumu kuchomoka.

Lakini pamoja na yote hayo, bado hayamuondolei mwanaume wajibu wake katika kulinda kiapo cha ndoa yake.
 
Back
Top Bottom