Kuna umuhimu wa kufanya mapenzi kabla ya ndoa

Kuna umuhimu wa kufanya mapenzi kabla ya ndoa

New Manase

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
294
Reaction score
39
Kuna mwanamke mdogo kwangu ni mpenzi wangu nimemzidi miaka 5 and she is vargin I have been insist to make love with her bt anasema anaogopa hatoweza! Mi nko tayar kumsubiria mpaka ndoa, wadau mnasemaje katika hili?
 
Ata ukienda kununua kiatu lazima ujaribu kama kinakutosha
 
Kuna mwanamke mdogo kwangu ni mpenzi wangu nimemzidi miaka 5 and she is vargin i have been insist to make love with her bt anasema anaogopa hatoweza! Mi nko tayar kumsubiria mpaka ndoa, wadau mnaxemaje katika hili?

Subiri mwaya hakuna tatizo lolote kusubiri as long as mmekubaliana
 
Haina umuhimu kufanya mapenzi kabla ya ndoa.lakini je? Utajisikiaje ukishamuoa halafu ukagundua si bikira?
 
Haina umuhimu kufanya mapenzi kabla ya ndoa.lakini je? Utajisikiaje ukishamuoa halafu ukagundua si bikira?

kijana tafadhali njoo haraka ujibu swali muhimu sana hilihttps://www.jamiiforums.com/member.php?u=173001
 
Tombokaaaa wewe pasi shaka ..juu ya nini mwasi kitoko unamkalisha paka mambo ya maharusi yakamilikege siku ijazo..ahhh..
 
Unajuaje,kama hata hiyo papuchi anayo?

Mwambie akuoneshe na ufanye kuigusa-gusa, halafu jaribisha kama dushe yako inapita...isijekuwa ni fake ohoo!
 
Kuna mwanamke mdogo kwangu ni mpenzi wangu nimemzidi miaka 5 and she is vargin I have been insist to make love with her bt anasema anaogopa hatoweza! Mi nko tayar kumsubiria mpaka ndoa, wadau mnasemaje katika hili?

Mimi naomba unipe tafsiri ya hiki kidengereko hapa...

Btw acha zinaa, kama unaweza kusubiri kwa nini wajitaabisha kutuuliza?
 
Achana na huo mchezo wa imani..hapo hakuna kitu
 
Kuna mwanamke mdogo kwangu ni mpenzi wangu nimemzidi miaka 5 and she is vargin I have been insist to make love with her bt anasema anaogopa hatoweza! Mi nko tayar kumsubiria mpaka ndoa, wadau mnasemaje katika hili?

Unataka kumuoa kwa kuwa unampenda yy au bikra yake???na je kama ukimuoa na ukigundua hana bikra alikudanganya utamfanyaje???!!!ndoa sio lele mama
 
Back
Top Bottom