Mama yangu kapata stroke mke hataki kumhudumia

vibee

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
49
Reaction score
21
Wadau wenzangu nimeamua kiliweka hill hadharani ilimnipe ushauri.mama yangu mzazi
amepata stroke upande wa kushoto ni MTU wakuhitaji kulishwa kugeuzwa isipokuwa Mke niliye nae hataki kumpa msaada wowote so kumgeuza wala kumuosha.hivyo wadau naombeni ushauri nifanye nini.
 
binadamu wengine kazi sana ajiulize ikimtokea yeye akafanyiwa hivyo ......kama una ndugu karibu unaweza mchuku kuishi nae kusaidia kwa muda huku mkifanya mchakato na familia yako namna ya kumtunza mama...pole sana kwa kuuguza
 
so sad.
pole kwa mama. kwanini anakataa au ni jeuri tu?
 
Poleni...cha msingi muiteni ndugu mje mkae nae af muwe mnamlipa,au mfanyakazi spesho kwa ajili yake..kuhudumia mgonjwa asiejiweza si mchezo...
 
Pole sana kaka ndivyo wanawake wa kisasa tulivyo.tunapenda ndoa ila yaliyomo kwenye ndoa hatuyataki..huyo mkeo amesahau kiapo alichokitoa cha kuishi kwenye shida na raha..kipindi cha raha mapenzi yanakuwepo cha shida mtafutano.shida ambazo alihaidi kukabiliana nazo hiyo ni moja wapo .tafuta mtu ambaye atakusaidia kumtunza mama.kama ni ndugu au hata mtu baki.wakati ukimshauri mkeo .kamwe usikubali kumwacha mama ateseke.binadamu hujafa hujaumbika leo kwa mama kesho kwake nan atamsaidia.dahhh....
 
Wadau wenzangu nimeamua kiliweka hill hadharani ilimnipe ushauri.mama yangu mzazi
amepata stroke upande wa kushoto ni MTU wakuhitaji kulishwa kugeuzwa isipokuwa Mke niliye nae hataki kumpa msaada wowote so kumgeuza wala kumuosha.hivyo wadau naombeni ushauri nifanye nini.

Wajibu wa kumlea mama yako ni wa kwako na watoto wake wengine/ndugu etc walio karibu na uhusiano wa damu au hata marafiki wenye mapenzi mema. Kama mke hataki, usimlazimishe. Ni dhahiri mkeo sio mwema hata wewe ukipa stroke si ajabu akakukimbia. ILA kama anakuwa kikwazo cha kumhudumia mama, mwambie aondoke mama akipona arudi mwendelee na ndoa yenu if you so like anyway! Lakini usivunje ndoa! THE BOTTOMLINE HUNA MKE.
 
Pole sana..usimlazimishe maana anaweza kumfanyia chochote kibaya bila ww kujua.
Tafuta mtu aliye willing kumhudumia mama hata kwa kumlipa.
 
Wajibu wa kumlea mama yako ni wa kwako na watoto wake wengine/ndugu etc walio karibu na uhusiano wa damu au hata marafiki wenye mapenzi mema. Kama mke hataki, usimlazimishe. Ni dhahiri mkeo sio mwema hata wewe ukipa stroke si ajabu akakukimbia. ILA kama anakuwa kikwazo cha kumhudumia mama, mwambie aondoke mama akipona arudi mwendelee na ndoa yenu if you so like anyway! Lakini usivunje ndoa! THE BOTTOMLINE HUNA MKE.

Thnx kiongozi In anyway I have to beak out.
 
Wadau wenzangu nimeamua kiliweka hill hadharani ilimnipe ushauri.
Yeah hujakosea kuliweka wazi mkuu na hapa ushauri utapata japo wapo waj.inga wachache watakubore!
mama yangu mzazi
amepata stroke upande wa kushoto ni MTU wakuhitaji kulishwa kugeuzwa
Nakushauri mtafutie mdada special kwa kazi hiyo anayeweza kuipenda tena tafuta mtu ambaye amesomea nursing maana mgonjwa anahitaji mtu aliyetiari kumhudumia ukimlazimisha mkeo aweza muua tafuta mtu mkuu.
isipokuwa Mke niliye nae hataki kumpa msaada wowote so kumgeuza wala kumuosha.
before mama yako alikuwa anaishi naye vizuri? maana wamama wengine huwa hawawapendi wake wa vijana wao wanapopata shida wanahitaji msaada! kama sivyo basi mkeo ana roho mbaya kama huna mtoto naye piga chini ila kama mna watoto muweke mbali mama yako na mke wako! mke kazi yake pia taambua si kumlea mama yako na msaada mtu anatoa anapolidhia mwenyewe kutoa! ila kama ni msaada wowote huyo weka mbali naye anaweza muua asee!!!!!!!!!
 
Wadau wenzangu nimeamua kiliweka hill hadharani ilimnipe ushauri.mama yangu mzazi
amepata stroke upande wa kushoto ni MTU wakuhitaji kulishwa kugeuzwa isipokuwa Mke niliye nae hataki kumpa msaada wowote so kumgeuza wala kumuosha.hivyo wadau naombeni ushauri nifanye nini.
Mkuu kwani upande wako hakuna watu wa kufanya hiyo huduma?yaani watoto halisi wa Mama mfano dada au wadogo zako
 
Mwachie nyumba, hamia kwa mama ili umuuguze akipata nafuu utarudi kuendelea na maisha na mkeo. Hii ni kwa sababu ukibaki naye hapo atamnyanyasa kwa kuwa hana upendo naye. Mke wa namna hiyo huwezi kumlazimisha uuguuzi sio kazi ya kulazimishana ni kujitoa kwa moyo.
Wadau wenzangu nimeamua kiliweka hill hadharani ilimnipe ushauri.mama yangu mzazi
amepata stroke upande wa kushoto ni MTU wakuhitaji kulishwa kugeuzwa isipokuwa Mke niliye nae hataki kumpa msaada wowote so kumgeuza wala kumuosha.hivyo wadau naombeni ushauri nifanye nini.
 
Pole sana kaka, nachojua mimi mioyo inatofautiana. Hauna dada wewe? Mama mdogo? No matter how difficult it may sound hilo ni la kwenu, mke akufanyie ihsani kumlea mama. Kuna watu hawawezi kumlea mama yake mzazi awapo kwenye situation hiyo itakuwa mama yako ambaye ni mkwewe? Kaka kuuguza mtu mzima si mchezo na tena inataka huruma, uvumilivu na upendo wa hali ya juu ambao si kila mtu anao na si automatic kwamba kila mke analiweza hilo. Tujiulize kuna wababa wangapi washakuwa kwenye situation ya hivyo lakini ni watoto wangapi wa kiume wameweza kufunga mkanda wakamhudumia baba yao mwanzo mwisho zaidi ya kupeleka fedha? Fedha haimuogeshi mtu, haimlishi chakula etc someone needs to be there. Sio nia yangu kukuongezea uchungu ila naomba uone uzito wa issue yenyewe kwa huyo mke na kama mtu hataki basi. Kama una uwezo tafuta a nurse umlipe au mtu mwingine wa kumhudumia mama full time. Pole sana, have been there before its not easy
 
Yeah hujakosea kuliweka wazi mkuu na hapa ushauri utapata japo wapo waj.inga wachache watakubore!
Nakushauri mtafutie mdada special kwa kazi hiyo anayeweza kuipenda tena tafuta mtu ambaye amesomea nursing maana mgonjwa anahitaji mtu aliyetiari kumhudumia ukimlazimisha mkeo aweza muua tafuta mtu mkuu.

before mama yako alikuwa anaishi naye vizuri? maana wamama wengine huwa hawawapendi wake wa vijana wao wanapopata shida wanahitaji msaada! kama sivyo basi mkeo ana roho mbaya kama huna mtoto naye piga chini ila kama mna watoto muweke mbali mama yako na mke wako! mke kazi yake pia taambua si kumlea mama yako na msaada mtu anatoa anapolidhia mwenyewe kutoa! ila kama ni msaada wowote huyo weka mbali naye anaweza muua asee!!!!!!!!!

Bro!hawajawahi kuishi sehemu Moja hata siku moja.mama alikuwa anakaa kwake name sisi tunakaa kwetu.mum Dom sisi dar.
 
Back
Top Bottom