Juma WALEO
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 204
- 40
Jamani hisia za kufanya sex zinapanda hadi najihofia na sipo tayari kufanya sex kwa sasa nifanyeje ili nipoe..!
Jimwagie maji ya barafu!!!
Teh teh ushawahi kufanya???
Toboa mgomba....
Baada ya hapo atatamani anilipe wallah kwa huo ushauri wangu...hahahaha baada ya hapo afanyeje
Ushauri wako ataufanyia kazi natumaiPole mkuu. Mazoezi, kua busy na mambo kama mpira ivi, na acha kabisa vishawishi vya kukupa mawazo hayo...nimeona unaitwa Juma so uwe unasoma Quran japo mara moja moja
siku nyingi sijakuona...
Ha ...Toboa mgomba....
siku nyingi sijakuona...
Jamani hisia za kufanya sex zinapanda hadi najihofia na sipo tayari kufanya sex kwa sasa nifanyeje ili nipoe..!
Nipo ndugu yangu sema mambo yanabana!!!
Baada ya hapo atatamani anilipe wallah kwa huo ushauri wangu...
achana kabisa na mgomba mbali na kutupatia ndizi utatoa na.......