Ungependa ufanye nini kabla ya kufa?

Ungependa ufanye nini kabla ya kufa?

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,284
Mimi nilikua nina hamu sana ya kufanya skydiving siku moja, kujirusha kutoka kwenye ndege na parachute..
Sasa mwisho wa siku nimelitimiza hilo, ilikua ni experience moja breathtaking, yahitaji confidence ya kutosha maana ndege ikishafunguliwa afu ukiona chini mawingu then the bad part inatakiwa uruke, si mchezo, hata kama kuna parachute bado mwanaume mzima mapigo ya moyo hadi heart rate sensor inaonyesha error.

Wewe nini ungependa ukifanye kabla ya kudanja?
 
Hayo nawaachia "weupe" i will never attempt that BS!!!
 
NINGEPENDA KUTEMBELEA BAADHI YA MAENEO YA ISRAEL NA MISRI.ACTUALLY IT IS IN MY PLAN.:A S-key:
 
Back
Top Bottom