Love bite

Love bite

gatty

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
64
Reaction score
13
Hizi alama za love bite, boyfriend wangu anapenda sana kuniweka hata mimi pia nazipenda ila kuna wakati zinanikosesha raha hasa nikiwa kwenye mjumuiko wa watu tofauti tofauti, sijui ndo zinaandikwa hivyo.
 
Muwekeane sirini, sasa mnatangazia umma? Mnazani nyie ndio wa kwanza kutiana?!

Ila ukiona bado mnawekea na 'love bites', ujue bado mko kwenye swit siksitin, enjoy the moment.
 
Hizi alama za love bite, bf wangu anapenda sana kuniweka hata mm pia nazipenda ila kuna wakati zinanikosesha raha hasa nikiwa kwenye mjumuiko wa watu tofauti tofauti, cjui ndo zinaandikwa hivyo

sijaelewa mama ghati!

uko musoma sehemu ghani?
 
Hizi alama za love bite, bf wangu anapenda sana kuniweka hata mm pia nazipenda ila kuna wakati zinanikosesha raha hasa nikiwa kwenye mjumuiko wa watu tofauti tofauti, cjui ndo zinaandikwa hivyo

Usikubali wewe angekuwa mumeo sawa,ila Bf akuweke mialama hiyo anakunyima bahati kwa sababu hata mimi nikikutana na wewe na milove bites kibao hata hamu ya kuongea na wewe inapotea...tafakari
 
Muwekeane sirini, sasa mnatangazia umma? Mnazani nyie ndio wa kwanza kutiana?!

Ila ukiona bado mnawekea na 'love bites', ujue bado mko kwenye swit siksitin, enjoy the moment.

Hivi unaweza kuja kunifundisha namna ya kuweka hizo "lavu baits"!??, Zombie mwambie unaenda kufundisha twisheni..
 
Mi watarime

sasa uwe una-reply with quote mamii ili nikupate vizuri!

tarime ndio kambi yangu ya jeshi ilipo! ngoja ntakutumia Defender nne zikulete hapa jeshini! ntakuondolea shida zako zooooooote!
 
Back
Top Bottom