Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unajua inafikia mahali unaamua liwalo na liwe.Kuna kipindi niliomba ushauri kuhusu ndoa na mume mlevi na mchelewa kurudi, na siku zingine anarudi saa 11 alfajiri, simu yake ina messeji za ajabu...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Sio mimi ila ni takwimu zinasema kuwa 49%~ 50% wababa wa Tanzania wanalea watoto ambao sio wao je tatizo ni nini? Na nini kifanyike, je nani wakulaumiwa kwa hili jambo?
1 Reactions
50 Replies
7K Views
Nina mpenzi wangu ambaye kiukweli kwa umri amenizidi(sio tatizo)ana mtoto 1 tumekua tukipendana sana ila kwa sasa tuko mikoa tofauti na yeye ameweka matumaini ya mm kurudi lakini kwangu imekua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninaishi na mke na mtoto mmoja mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 6, naishi nyumba ya kupanga, tuko wapangaji wawili kila mmoja ana mke...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Wanajamvi, Najishangaa sana, hapa nilipo kila ninayempenda mwisho ananiacha bila kosa. Huyu wa sasa ndio kabisa yani nmempangia na nyumba anapokaa lakini ni wiki sasa tangu aniache na kusema...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Mwanamke ambaye hajawahi kusexy anahitajika, acha namba kwa mawasiliano
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf Nimekuwa na mahusiano na madada kama wanne humu na tunachati vizuri sana na kuongea sana hata ikiwepo mipango ya mbeleni ila kinachonishangaza kila tukikubaliana siku ya...
0 Reactions
98 Replies
9K Views
Nawaheshimu sana,nawapenda sana,acha niendelee then ntamalizia icho kituko mwisho,make watu mmekua na hasira sana utazan bando mnaniwekea nyinyi,ntakua napost kidogo kidogo kwan napoangalia divc...
1 Reactions
161 Replies
27K Views
KWA WANAUME ; Ukiona Mpenzi Wako Anakusumbua sumbua Kila Siku Kukuomba Pesa Ya Kununua Rangi Ya Kucha, KAMNUNULIE KOPO LA WINO WA # NEC (wino wa uchaguzi) NOTE; SIKU NJEMA KWAKO...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Watoto wanapatikana kupitia mahusiano ya jinsia mbili tofauti. Bila kujali namna na uhalali wa mahusiano ya jinsia hizi mbili uwezekano wa kupata watoto huwa ni tarajio la uhakika. Lakini wapo...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Mwanamke kabla hajaolewa huutunza usichana wake kwani ndio taji peke la heshima pale aolewapo. Ikitokea aliuharibu uschana wake basi hujutia na kutorudia kitendo kile kama mazoea kwake na huwa...
1 Reactions
68 Replies
9K Views
Amani iwe kuwenu, Nimejiuliza maswali mengi sana juu ya upekee wangu katika familia yetu. Tangu kuzaliwa kwangu na kukua kwangu nimeona mengi sana kwenye familia, Mimi ni mtoto wa kwanza kwa mama...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
((( SITOSAHAU )))) SIKU MCHEPUKO" ULIPONIACHIA MTOTO KWENYE DALADALA. soma story hii. Mke wangu MARY aliamka mapema na kuniomba niende nikamsaidie badhi ya majukumu sokoni, kwani yeye siku...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Mie naishi dar, natafuta mchumba wa kike muislam, awe mtu wa dini na amehifadhi Qur-an. awe anaishi dar, kwa aliye tayar
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimesikia taarifa ya mkemia mkuu wa serikali akisema %49 ya watoto walioko kwenye ndoa si watoto halili wa ndoa, akafika mbali zaidi na kutaja mikio inayoongoza kuhujum ndoa zao akianza na arusha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu wa siku nyingi anaishi sehemu flani nchini siwezi taja kijiji anachokaa kwa Kuwa anaweza kuwa ni member humu,juzi alifunga ndoa na mwanamke ambae wamekaa nae kinyumba kwa miaka...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Umri wangu Ni 37. Nitakaenfaa anitafute
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi ile OG na ile remix IPI habari ya mjini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mmii ni kijana,nipo Simiyu nahitaji mchumba msichana wa umri wa miaka 22-28,aliye tayari ani pm.
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Wanajamvi, Mtoto ni baraka na neema kutoka kwa Mungu, ndo maana hakuna ndoa yenye furaha bila mtoto.Mwanamke asipozaa ktk ndoa huwa anasimangwa sana hadi kufikia kuambiwa kuwa anajaza choo tu na...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…