pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,641
- 6,267
Kuna rafiki yangu wa siku nyingi anaishi sehemu flani nchini siwezi taja kijiji anachokaa kwa Kuwa anaweza kuwa ni member humu,juzi alifunga ndoa na mwanamke ambae wamekaa nae kinyumba kwa miaka mitatu na wana mtoto mmoja, kilichonishangaza ni kuwa huyu jamaa kufanya kufuru kwa kutumia kiasi hicho cha pesa kwenye sherehe ya harusi huku akiwa bado ni mpangaji, nyumba yenyewe aliyopanga analipa laki saba kwa mwezi! NI AIBU.