Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari zenu waungwana, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninaishi na mke na mtoto mmoja mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 6, naishi nyumba ya kupanga, tuko wapangaji wawili kila mmoja ana mke wake.
Lakini cha kushangaza mke wa mpangaji mwenzangu anaonesha ishara za kimapenzi kwangu na isitoshe kibaya zaidi..
Jana nikiwa na pikipiki nilikua naelekea mjini, nikamkuta njiani, nikampa lift cha ajabu nikaona ananishika kwenye kiuno changu.
Hatukuishia hapo, usiku akaniambia ana mazungumzo na mimi, ilikua mida ya 2 usiku, tukakaa kwenye uchochoro na kuanza swaga za kimapenzi, mimi nikajikuta naanza kuteleza kama nyoka.
Leo sasa mida ya saa 5 asubuhi amenambia nimpeleke tena safari yake, sikugoma nikaenda, sasa cha kushangaza akaanza tena pigo zake zile zile na mimi nikaanza kuchanganyikiwa, tukaenda gheto moja ambalo anamiliki mdogo wangu anaesoma chuo na kuanza malavidavi, lakini baada ya kumaliza nimekaa na kujifikiria mambo mengi ambayo yaliwakuta wengine.
Kwa maana hiyo sidhani kama itakua siri kipindi chote hiki, lazima nitabambwa siku moja, sasa waungwana nimelileta kwenu nipate ushauri kutoka kwenu, maana naona kama vile nachungulia kaburi kwa makusudi.
NOTE: SIKARIBISHI MATUSI NIPE CHANGAMOTO ZENYE KUNIWEZESHA NIJIKWAMUE NA TATIZO HILI.