Nimesikia taarifa ya mkemia mkuu wa serikali akisema %49 ya watoto walioko kwenye ndoa si watoto halili wa ndoa, akafika mbali zaidi na kutaja mikio inayoongoza kuhujum ndoa zao akianza na arusha, dar, na mbeya, kitu kilichonipa hasira na kufanya nianze kuwaangulia mala mbilimbili watoto wangu, ebu watoto wanawake semeni ukweli wenu hizi habari zinaukweli?