HULILO
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 281
- 391
Nina mpenzi wangu ambaye kiukweli kwa umri amenizidi(sio tatizo)ana mtoto 1 tumekua tukipendana sana ila kwa sasa tuko mikoa tofauti na yeye ameweka matumaini ya mm kurudi lakini kwangu imekua ngumu na pia najiona c mtu sahihi kwake na mpaka leo naleta hili mbele yenu yapata week nimemchunia na yeye amekua akinitafuta na cm zake cpokei sasa wana jukwaa naombeni ushauri nifanyaje kwani bado nampenda ila najiona kama c mtu sahihi kuwa nae
Naombeni ushauri wenu nifanyaje tafadhali usinitusi kama uzi huu utakubore
Naombeni ushauri wenu nifanyaje tafadhali usinitusi kama uzi huu utakubore