Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,697
Wanajamvi,
Mtoto ni baraka na neema kutoka kwa Mungu, ndo maana hakuna ndoa yenye furaha bila mtoto.Mwanamke asipozaa ktk ndoa huwa anasimangwa sana hadi kufikia kuambiwa kuwa anajaza choo tu na hana faida kwa mumewe wala familia ya mumewe, na ktk kuzaa tunatarajia kupata watoto wa kutulea pindi tumezeeka na hatuwezi tena kufanya kazi.
Kwa mfano wewe ni kiongozi mkubwa wa serikali, jamii yote inakuheshimu kwa ufanyakazi wako uliotukuka. Mtoto wako wa kwanza akawa wa kiume na ukamsomesha kwa gharama kubwa nje ya nchi.
Anarudi nyumbani huoni matunda ya Elimu ya mwanao zaidi ya kushinda vijiweni na kumbi za starehe huku akipenda sifa na kujitapa, umri wa mwanao unaenda hadi kufikia miaka 50 ila tabia zake zinakuwa sawa na kijana wa miaka 17,na ndo mtoto wako pekee huna tena mwingine.
Hajishughulishi na kazi yoyote wala biashara yoyote zaidi ya mishen town tu, na zaidi ya yote ktk umri huo wa miaka 50 anakaa nyumbani na hajaweza kujitegemea, wewe baba yake umri umeenda upo kwenye age ya 80 ,umeshampatia sana mitaji ila huwa anakula tu na kuendelea kuishi nyumbani, sasa kama ni wewe ndo mzazi utalifanya nini toto la hivi?
Na hasa ukuzingatia kuwa vijana wengi waliozaliwa ktk familia maskini na wana mitaji midogo lakini wanainuka kimaisha, toto la hivi utalifanyaje?