Natafuta mchumba muislam

makenga 1

Member
Oct 24, 2015
13
10
Mie naishi dar, natafuta mchumba wa kike muislam, awe mtu wa dini na amehifadhi Qur-an. awe anaishi dar, kwa aliye tayar
 
tatizo wana jf wengi from dar alaaah!! naona useme awe mcha mungu nakuyaishi maisha ya uislam maana kuhifadhi quran tu haitoshi
 
Ustadhi ni bora ungeenda kwa Walimu wa dini na wa mama wazima wa kiislam utapata mke bora inshaallah. Hawa wa mitandaoni ni pasua kichwa kaka. Nunua majuzuu yako na musaafu tembelea madrasa na to misaada hiyo kisha ongea na hao walimu watakusaidia.
Allah akuongoze vema ktk kuiendea ibada ya ndoa.
 
kuja kutafuta mke humu ni sawa na kwenda msikitini huku mkononi umeshika kitimoto..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom