Ni kwanini baadhi ya watu hawataki watoto?

Wickama

JF-Expert Member
Mar 8, 2009
1,466
1,195
Watoto wanapatikana kupitia mahusiano ya jinsia mbili tofauti.

Bila kujali namna na uhalali wa mahusiano ya jinsia hizi mbili uwezekano wa kupata watoto huwa ni tarajio la uhakika.

Lakini wapo wengi tuu ambao hawataki kupata watoto hata kama mahusiano ni kihalali. Hebu tuelimishane.

Sababu halisia huwa ni zipi?
 
usiumize kichwa chako bure, jua kwamba katika hii sayari kila mtu ana maamuzi yake either kutokana na mazingira.

kama wewe unapenda wengine hawapendi na wana amani.

Live your life na kama unaye ambaye hapendi na wewe unapenda, jiongeze usogee taratibu ili uwe na anayependa.

My words may seem to be too harsh but not my intention to hurt you. I just wanted to give out my observations.
 
Kila jambo na wakati wake na kila mtu na mapenzi yake.
 
  • Thanks
Reactions: Art
Sio lazima kuwa na watoto. Mwingine anawaza, kwa nini niwe na mtoto then aishi kwa shida na tabuu maana sina uwezo wa kumtunza; imani ya kila mtoto anakuja na riziki yake haipo kwa wengi. au inatokea tu hupendi kuwa na mtoto; si ajabu na si lazima.
 
kweli kabisa ulichosema. Kwa mfano mimi napenda sana watoto ila sipendi niwe na mtoto halafu ateseke
 
Watoto wanapatikana kupitia mahusiano ya jinsia mbili tofauti.

Bila kujali namna na uhalali wa mahusiano ya jinsia hizi mbili uwezekano wa kupata watoto huwa ni tarajio la uhakika.

Lakini wapo wengi tuu ambao hawataki kupata watoto hata kama mahusiano ni kihalali. Hebu tuelimishane.

Sababu halisia huwa ni zipi?

Tuna mawazo tofauti, wakati wewe unawaza utakavocheza cheza na mwanao na kuitwa mama/baba mwingine anawaza itamgharimu kiasi gani kulea huyo mtoto mpk awe mtu mzima.
Wakati wewe unaona sifa kuwa na mtoto mwingine anawaza ataonekana umri umemtupa anazeeka.
Mwingine akijiwazia alivyo, tabia n.k anahisi hawezi kuwa mzazi wa mtu hivyo anakataa kuwa na watoto tu.
Sehemu kubwa ni sababu za kijamii na kisaikolojia
 
usiumize kichwa chako bure, jua kwamba katika hii sayari kila mtu ana maamuzi yake either kutokana na mazingira.

kama wewe unapenda wengine hawapendi na wana amani.

Live your life na kama unaye ambaye hapendi na wewe unapenda, jiongeze usogee taratibu ili uwe na anayependa.

My words may seem to be too harsh but not my intention to hurt you. I just wanted to give out my observations.

Well well said.
 
Kabisaaaaaaa
 
Nakubaliana na analysis yako kwa kiasi kikubwa, ila essence ya watoto huwa ni ipi katika mahusiano?
 
Sababu zipo nyingi za watu kuamua kotozaa, mimi nina ndugu yangu hataki watoto kwasababu anaona dunia ya sasa kumzaa mtoto halafu huyo mtoto baadae akifa aende peponi chance ni ndogo na yeye anaogopa moto wa jehanam kuliko kitu chochote, ameamua kutokuoa na kama ataoa basi atajitahidi apate mwanamke ambaye hawezi kushika mimba, anaipigania nafsi yake ili siku akifa awe ni mja mwema
 
We Wickama were you reading my mind. Nilikuwa nina mpango wa kupost thread titled "sababu kumi Kwanini sitaki watoto"

I'll just post here then
 
Last edited by a moderator:
usiumize kichwa chako bure, jua kwamba katika hii sayari kila mtu ana maamuzi yake either kutokana na mazingira.

kama wewe unapenda wengine hawapendi na wana amani.

Live your life na kama unaye ambaye hapendi na wewe unapenda, jiongeze usogee taratibu ili uwe na anayependa.

My words may seem to be too harsh but not my intention to hurt you. I just wanted to give out my observations.

Hapo umemaliza,
Uzi ufungwe tu.
 
Sababu zipo nyingi za watu kuamua kotozaa, mimi nina ndugu yangu hataki watoto kwasababu anaona dunia ya sasa kumzaa mtoto halafu huyo mtoto baadae akifa aende peponi chance ni ndogo na yeye anaogopa moto wa jehanam kuliko kitu chochote, ameamua kutokuoa na kama ataoa basi atajitahidi apate mwanamke ambaye hawezi kushika mimba, anaipigania nafsi yake ili siku akifa awe ni mja mwema

Mmmh kwa hiyo yeye anajiamini ataenda peponi??

What a selfish!!
 
tupo wengi sanaa, life lenyewe la kuunga kwa supa gluu, halafu niongeze tena shida juu ya shida ...........
 
Back
Top Bottom