HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,416
- 6,141
Wanajamvi,
Najishangaa sana, hapa nilipo kila ninayempenda mwisho ananiacha bila kosa. Huyu wa sasa ndio kabisa yani nmempangia na nyumba anapokaa lakini ni wiki sasa tangu aniache na kusema yeye anataka kuwa single, lakini bado anakaa kwenye nyumba niliyo mpangishia. Sina raha kabisa, sielewi nifanyeje, hata msosi haupandi.