Natafuta mke wa kuoa niko tayari kwenda kupima na yeye ila awe na uwezo kidogo

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
Mm naitwa moody kabwe nina umri wa miaka 28

Nahitaji mke wa kuo ila mimi kwa sasa sina kazi niliachishwa kazi kipindi cha kampeni za uchaguzi na bos wangu yeye ni ccm baadala ya mimi kutekeleza majukumu yangu ya kichama mimi ni kiongozi wa chama ni katibu wa vijana wa kata ya kigogo

Nina cheo kingine ndani ya chama naomba nsikitaje kiusalama

Mashariti
Anipende kweli sio akipata watoto anikimbie

Atambue tu kwa sasa sina kazi hivyo awe mvumilivu sije nitesa kwakua sina kazi

Awe tayari kuniruhusu kufanya mambo yangu ya harakati za jamii sehemu mbali mbali


Niko tayari kwenda kupima naye kama atakuwa hamini


Kwa maelezo zaidi kama mtu yuko tayari tuanze maisha na yeye mwanamke huyo ya 2016
Mawasiliano yangu 0683201492
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom