TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
Kuna dada mmoja wa kizungu ambaye tumejuana na tunawasiliana kupitia mitandao ya kijamii, urafiki wetu una miaka zaidi ya mitatu lakini simfahamu zaidi ya kutumiana mapicha, katika maongezi yetu nilimwambia kuwa sijaoa.
Lakini ukweli ni kwamba nimeoa na nina watoto kadhaa,sasa yule dada wa kizungu anataka kuja kunitembelea hivi karibuni nikiwa kama mpenzi wake, hapa akili inanichanganya kwani anasema kama patamfurahisha anaweza akahamia moja kwa moja na ikiwezekana tuoane.
Naomba ushauri nimweleze mke wangu au ningoje liwalo na liwe kwani ana pesa na anaweza kubadili maisha yangu.

Last edited by a moderator: