ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,320
- 50,538
Sure!, ni kweli kabisa kuwa men wanao complain frequently through social media na networks are more likely to suffer from stress, anxiety na wengine wana some form of depression lakini wa leo hii mmezidi sana.
Unakuta kila leo hawana story nyingine zaid ya kuwa sema vibaya HAO WANAOWAITA WAPENZI WAO. Jamani brothers naomben mtambue kuwa hao tunaowaita WAPENZI wetu pia nao ni dada zetu pia ni mama zetu, sasa habari ya kuja kulalamikia kisa umepigwa virungu ni kutaka kuthibitishia dunia kuwa hauwezi kumwongoza mwanamke.
Kuna baadhi ya maswala sio kabisa ya ku expose mbele ya public. Mfano Hakuna asiye jua kama wanawake wana hitaji pesa sasa kama unajua ukitoa hio hela utakwenda kujipiga makofi kwanini umpe ..
Mnafanya mpaka sisi wanaume tusioona tabu kuwasaidia hawa tuliowapa upande mmoja wa mbavu zetu watuchukilie kama tuna matatizo..huezi ukawa mwanaume afu unatumia muda mwingi kumchambua mwanamke tena species nyenzako
Wakina dada msijali bado kuna kundi la wanaume (japo tumebaki wachache) tunaothamini michango yenu na tutaendelea sana kusaidiana cha msingi kuweni tu waelewa sometime

Last edited by a moderator: