Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,703
Naishi na binti mmoja wa kinyaramba....alisafiri kwenda singida kusalimu ...kwao sifahamiki lakini mama mkwe mtarajiwa kafurahi utadhan ananijua kwa sura....mwanae anavyorudi dar kampa zawadi ya debe moja la karanga na kuku wa kienyeji wawili.
Asante mama mkwe mtarajiwa nitakutunzia binti yako...
Asante mama mkwe mtarajiwa nitakutunzia binti yako...