Wenye mabinti......

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
111
Hivi mnawajengea ujasiri mabinti zenu waweze kujiamini na kujitegemea? au nanyi mwaona powaa wakipendeza bila nyie kujua anayempendezesha?
 
Si wengine ndo tunaowapendezesha hao mabinti
Ngoja waje wenye mabinti zao tuone watasemaje kama kweli wanawajengea maujasiri waache kututegemea na sisi tunataka kupendeza
 
Back
Top Bottom