Kwani lazima utoe gharama zote hizo
I couldn't agree more!!Hilo halihitaji viongozi wa dini, ni sisi wenyewe kuamua kubadilika. Sijawahi kusikia ndoa imekataliwa kufungwa kwa kisingizio cha kukosekana ubwabwa au mapungufu ya sherehe.
Kwa hili, naomba niwasifu waislam, linapokuja suala la kuoa na mazishi, hawana makuu, wanachojali ni tukio muhimu likamilike.
Kazi yao ni madhabahuni kufungisha ndoa mengine yote ni mbwembwe za kibinadamu tuuHarusi zimekuwa gharama mno vijana tunaogopa kuoa tunapostpone ndoa mpaka wachumba zetu wanatuona wahuni na wanakwenda kuolewa kwingine.Umri unaenda.Viongozi wa dini wakemee swala la sherehe za ndoa kutojiingiza gharama za lazima.Au mnasemaje?
I couldn't agree more!!