Habari wana JF
Hope ni wazima,
Kuna msichana mmoja ambae nilidumu nae kama miezi 8 hivi. Baadae tukaachana kwasababu nilipata mchepuko halafu akaja kugundua ikabidi tuachane sasa cha ajabu ni kwamba uyu mpenzi wangu wa zamani yaani hawezi kunisahau kabisa yaani, ile siku tunaachana alitishia mpaka kujiua lakini nikamtukana sana.
Baada kama ya miezi kadhaa akawa anantafta sisi akitanfta na mimi nashindwa uvumilivu tunaruduana lakini hatukai sana namzngua tena tunaachana.Yaani inshort nimemfanyia vingi vibayaaa lakini hawezi kunisahau yaani anakaa kimya baada ya muda anantafuta tena turudiane wakati anajua mimi nina mtu.
Sielewi ata nlifanya nini cha ajabu cha kumfanya mpaka anipende hivi. Maana uko nyuma aliwahi kua na watu wengine na bado wanamsumbua tu lakini yeye kaganda kwangu.
Eti nini kinapelekea situation kama hii