Tamaa na fikra finyu ndio zinawaponza baadhi ya wadada

Samwel Meleka

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
602
268
Salam wakuu

Tamaa na kupenda vitu vya dezo kwa baadhi ya wanawake zinawaponza. Wewe mwanamke umejiuliza kwa nini unapenda outing na jamaa ambaye si mpenzi ndg au rafiki zaidi ya kujuana tu, lakni upo benet nae kila kona?

Lift akupe, msosi akununuliwa unafikiri nini kitafuata? Kama haujiongezi kumpa kwa hiari amini atafanya juu chini alipe gharama zake, na wewe utakuja kulalama nlikua namheshimu kanibaka n.k. Jiulize, una mchumba au mpenzi wako, kwa nini upo benet na mwingine ilhali huna mpango nae?

Mwisho, zama hizi hakuna cha bure, ukizingua utawekea hata vitu kwenye msosi, wadada kuleni jasho lenu.
 
Mmmmmh
Kuna mdada kalalamika kubakwa
Kwa kuwekewa madawa kwenye kinywaji
Isije ikawa......

Salam wakuu
Tamaa na kupenda vitu vya dezo kwa baadhi ya wanawake zinawaponza wewe mwanamke umejiuliza kwa nini unapenda outing na jamaa ambaye si mpenzi ndg au rafiki zaidi ya kujuana tu,lakni upo benet nae kila kona lift akupe msosi a kununuliwa unafikiri nini kitafuata km haujiongezi kumpa kwa hiari amni atafanya juu chini alipe gharama zake,na wewe utakuja kulalama nlikua namheshimu kanibaka n.k,jiulize una mchumba au mpenzi wako kwa nini upo benet na mwingine ilhali Huna mpango nae?
Mwisho zama hizi hakuna cha bure ukizingua utawekea hata vitu kwenye msosi,wadada kuleni jasho lenu.
 
Tamaa humponza yoyote na sio mdada au baadhi ya wadada."tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti". Huyo kaka aliyebaka naye kajinajisi na kama huyo dada aliyembaka ana magonjwa ya kuambukiza huenda kayapata. Hivyo asijione shujaa sana. Watu wanaiba kwa ajili ya kutamani maisha ya wengine. Wanaroga kwa ajili ya tamaa na mifano mingi tu.
 
Na wewe kama mwanaume makini utatokaje out na mwanamke ambaye mnajuana tu juu kwa juu na kuingia gharama zote hizo......??
Mkuu mwanaume km ni domo zege yupo tayar kujitoa kila kitu akitegemea ipo siku bidada atajikoki sasa inakua kimya mwisho anatafuta shortcut ikiwemo kumbaka n.k
 
Salam wakuu
Tamaa na kupenda vitu vya dezo kwa baadhi ya wanawake zinawaponza wewe mwanamke umejiuliza kwa nini unapenda outing na jamaa ambaye si mpenzi ndg au rafiki zaidi ya kujuana tu,lakni upo benet nae kila kona lift akupe msosi a kununuliwa unafikiri nini kitafuata km haujiongezi kumpa kwa hiari amni atafanya juu chini alipe gharama zake,na wewe utakuja kulalama nlikua namheshimu kanibaka n.k,jiulize una mchumba au mpenzi wako kwa nini upo benet na mwingine ilhali Huna mpango nae?
Mwisho zama hizi hakuna cha bure ukizingua utawekea hata vitu kwenye msosi,wadada kuleni jasho lenu.

True,,
 
umaskini na kujiendekeza ni mbayaa saana yaani..mitamaa ya kishenz inafanyaga wanawake wadhalilike sana..bora uridhike na ulicho nacho...au tafuta kwa jasho yako...sio kupenda slopeee
 
Mhhh itakua ndo wewe umemfanyia ukatili yule dada aliyesema amewekewa madawa kwenye wine
Wamecoment hivo wengi nimeamua kuutafuta uzi wake ukweli simjui na wala sikujua km kuna dadaz kafanywa hivyo kumbe ukweli kwenye uzi huu upo na naomba dada zangu mtumie akili sana wanaume hawapendi kuchunwa.
 
Back
Top Bottom