Wanandoa kukaa zaidi ya mwaka bila kufanya tendo la ndoa

Jun 26, 2009
67
11
Habari. Hivi inawezekana na ni sawa kwa wanandoa kukaa kipindi kirefu bila kukutana kimwili? Inafika zaidi ya mwaka na wakiulizwa wanasema hakuna shida!!
 
Inawezekana kama hamkai pamoja huenda wewe unaweza ukawa umeenda kikaz kongo mwenzio umemuacha dar mda wa mwaka mzima
 
Mh labda kuna ugonjwa unamsumbua mmojawapo ambao hawawez kukuambia au kuna ugomvi mkubwa
 
Habari. Hivi inawezekana na ni sawa kwa wanandoa kukaa kipindi kirefu bila kukutana kimwili? Inafika zaidi ya mwaka na wakiulizwa wanasema hakuna shida!!
Katika hali ya uzee sawa kinyume na hapo kuna shida... Lakini yaweza kutokea
 
Inawzekana hasa hii husababishwa na mmojawapo kuwa na upungufu wa nguvu za tendo ama kumchoka mwenzi wake kwa kiwango cha kutokea ugomvi mkubwa pindi mmojawapo mwenye hamu kutaka kitu. Hii husababishwa na wanawake wengi kutokuwa tayari kutoa kitu na kupelekea mwanaume kutumia ubakaji style ama kutoa kipondo heavy kwa mhusika ili kumlegeza ama kutafuta mchepuko nje. Kikubwa wanandoa wanapaswa kujua na kutambua sex ndio kiunganishi kikubwa kati yao na katu wasiruhusu chochote kuingilia kati. Pia nishauri kwa mwanaume oa mwanamke unayemzidi miaka mingi katu usioe mwanamke mnayelingana ama anayekuzidi umri hasa akiwa kwenye 30s na kuendelea. Ni ushauri tu.
 
Back
Top Bottom