Beba tu mkuu kabebwa kambale na ana ndevu itakua huyo wako.......wa kwangu japo ana vindevu ila ana bonge la figure,sura nzuri,kifua saizi yangu,sauti je?! lazima nibebe mzigo.
kama yule traficKuna wanawake wana ndevu hadi zinaogopesha
mkuu oa huyo sasa hv utakua bilgateSasa ni;
Naomba wakuu mnieleweshe kidogo.
Japo ni nadra, lakini wapo wanawake wenye ndevu.
Hii inasababishwa na hormonal imbalance.
Lakini kuna tatizo lolote kuoa mwanamke mwenye ndevu?
Tatizo ni kelele asubuhi kugombania shaver.
Mkuu shairing kwa wanandoa ni kawaida waweza mnunulia shaver yake still akaona yako nzuri,Jaman jaman, hivi shaver ni shilingi ngapi mkuu mpaka ushindwe kununua mbili? yako moja na ya mkeo moja?
Acha kuwanyima wenye ndevu riziki bhana.
hahahahaha
Hiyo nakubaliana nayo ila wakati anang'ang'ania yako nawe chukua yake.Mkuu shairing kwa wanandoa ni kawaida waweza mnunulia shaver yake still akaona yako nzuri,
Kuna mtu humu alisema anapenda kuvaa pichu ya mwenzie...teh teh teh
Ha...yake haishave vizuri kwa kipilipili type km Rozay.Hiyo nakubaliana nayo ila wakati anang'ang'ania yako nawe chukua yake.
ngoma droo.