Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,755
- 1,734
Wakuu sioni hata haja ya kuwa na hii kitu inaitwa DSTV
1. Kukiwa na mvua au mawingu mazito basi ujue siku hiyo no signal.
2. Toka jana no signal hadi leo sa sita ndo nawasha inakubali
3. Scratch za kumwaga utafikiri Star times enzi hizo.
Sasa je wakuu hili tatizo ni kwangu tu au wote mnaexperence hili janga.
Swali kwa DSTV, hii mikwaruzo na siku ambazo mnakuwa hamko hewani mnacompansate vipi? Au hasara kwa mteja.
Naona na nyie ni JIPU tu lililoiva.