Nimeajiriwa serikalini mshahara Wangu wa kawaida sana yaani mshahara wa graduate kila Siku nimatatizo ikifika tarehe10 Sina kitu nikiangali nilichofanya sikioni jamani nitumie kanuni gani less...
Nasikia yapo maneno ambayo ni hatari sana kwa wanandoa kuleta doa kwenye ndoa yao na hata kuhatarisha mahusianao kuvunjika.
Yamkini umo humu na uliwahi kuambiwa neno ambalo bado linakugusa sana...
Habari za mchana wana Jf's
Jamani kuna jambo limenitokea kwa hiyo naomba ushauri wenu kwani naamini nikichanganya na zangu hapa ni mahali sahihi.
Ni leo usiku ambapo pamoja na kwamba mke wangu...
Habarini wadau,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekuwa na mpenzi wangu kwa mahusiano ya kimapenzi kwa muda wa miaka miwili sasa, ila tatizo lake ni pale tunapokuwa tunakutana kimwili huwa...
ACHA MAISHA YA ZIMA MOTO
Watu wanaofanya kwenye idara ya zima moto kazi yao ni moja tu, kusubiri moto utokee na kwenda kuuzima. Kama hakuna moto, hawana kazi kubwa, ila moto unapotokea ndipo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 , natafuta rafiki wa kike ambae tukikubaliana na kuelewana tutaanzisha familia .awe na elimu yoyote,kabila lolote,rangi yoyote ila awe msafi tu.
Hi guys
Hivi karibuni tulikua tunasuluhisha mgogoro wa ndoa wa family friend ambapo niliombwa na kikao kuongea na mwanamke aniambie shida ni nn hasa maana amekua akimsumbua mumewe kwa uzinzi...
Hizi ni Njia 11 za kumfanya mpenzi asitoke nje
1. TAMBUA THAMANI YAKE
Unapokuwa Umeapa Kuwa Utampenda Mwenzako Hadi Kifo Kitakapowatenganisha, Uwe
Umefanya Hivyo Kwenye Nyumba Ya Ibada Au...
salam kwenu wote member jf
natarajia kwenda nchin kenya jiji la nairob kikaz naomba kufaham mnijuze mlioko huko au ambao mmeshaakaa huko madem wa huko n km wa bongo au mda wowote una aploch au...
heshima kweli wadau..
kiukweli wanawake wa makabila madogo na yasiyo na mbwembwe ni ngumu sana kukutana nao kwenye vurugu za maisha za kila siku..
makazini 80% ni wachaga, wahaya etc, vyuoni 80%...
Greetings member,
Kuna baadhi ya wanawake, walio kwenye ndoa na wanaosubiri posa wanakunywa
pombe kama wanaume! Wanaenda kwenye mabaa, wanapiga vyombo vizito wengine hata wanaume hatuwafikii...
Habari wadau,
Ni matumaini yangu mko poa. Leo ningependa tuangalie misingi ile ya zamani iliyofanya ndoa nyingi zikadumu na hata mabinti walikuwa wakiolewa wakiwa na bikira tofauti na leo...
Habari wanajamvi,
Nimeishi kinyumba na huyu baba tangu mwaka 2013, amenisaidia kwa mengi sana likiwamo kunitafutia kazi Bandarini pamoja na kunipatia usafiri.
Nisiwachoshe, hivi juzijuzi...
Wadau habari
Juzi nilitoka job mapema sikua najisikia vizuri, nilipofika home nikalala muda mrefu sana, nilipoamka jioni sana nikaenda nyuma ya nyumba kujinyoosha nashangaa kumkuta shemeji mdogo...
Muwe romantic banah! Pale unapovalishwa pete ya thamani ya uchumba na mwenza wako usiishie hapo! Uwe umeandaa kitu cha kumbukumbu kitakachomfanya mwenza ajihisi kuwa na furaha zaidi siku hiyo...
My daughter, kuanzia kesho hutakuwa ukiitwa tena jina langu. Utakuwa na furaha kuolewa na mwanaume uliyempenda. Usini miss mimi kwasababu nimeshatimiza majukumu yangu. Sasa ni wakati wa kutimiza...
Hivi nyie majirani mnaoharibu ndoa za watu, mnagombanisha wanandoa wasielewane kwa maneno ya umbeya ukimuona baba flani kaka sehemu either bar au sehemu yeyote na mwanamke tayari umepeleka umbea...
Habari wadau MMU!
Maisha siku zote yana changamoto zake na siku zote lazima upite katika majaribu. Nakumbuka nilishawahi kuomba ushauri kuhusu majirani walivyonikosanisha katika mahusiano na...