Mrejesho: Majirani walivyonikosanisha na mpenzi wangu

madam semah

Member
Joined
May 22, 2015
Posts
16
Reaction score
2
Habari wadau MMU!

Maisha siku zote yana changamoto zake na siku zote lazima upite katika majaribu. Nakumbuka nilishawahi kuomba ushauri kuhusu majirani walivyonikosanisha katika mahusiano na mwenzangu.

Nashukuru wote walionishauri, ushauri wenu niliufanyia kazi na kufanya uchunguzi nilijaribu kuoanisha na masuala mbalimbali na niligundua kuwa alikuwa anatafuta sabab ili tuachane.

Nakumbuka mwana MMU mmoja alisema anakwepa majukumu ya kumuhudumia mtoto nikagundua ni kweli kwani kila nikimuomba pesa ya mtoto najibiwa sina pesa ili hali anafanya kazi hatimae niliamua kuacha kumuomba pesa.

Mwishoe nilimbana ndipo nilijibiwa kuwa sina mpango tena na wewe chanzo nimerudiana na mchumba wangu wa zamani niliamua kukata mawasiliano naye na kuendelea na maisha yangu.
 
Pole sana kwahiyo sasa hivi kaondoka?
 
Nadhani kuna umuhimu wa kuanzisha chombo hiki NARA(name &avatar regulatory authority)maana kuna majina mengine na avatar badala uchangie mada unajikuta unaijadili avatar au jina.
 
Back
Top Bottom