Drama queen
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 157
- 289
Nimekua msomaji tu lakini acha leo nitue huu mzigo, nimeona mwenzangu wishes to turn back the hand of time mi natamani nife.Simply kwasababu sina furaha katika ndoa yangu na sababu ni kuolewa na mtu ambae sikumpenda sababu tu yule tuliependana hayuko vizuri financially.
Kwanza nikiri tu kabla ya kuolewa nilikua mtu wa mambo mengi sana I dd it ol travelled sehemu kibao ndio maana pia nikapewa hilo jina dramaqueen. Nimeolewa kama miaka 3 imepita nina watoto 2 mume wangu ananipenda sana anatujali mimi na watoto mno hakuna ninachotaka asinipe gari ananibadilishia after every 6nmonths ni mtu mzima kidogo kwangu, binafsi namheshimu sana nadhani hilo ndio linamfanya azidi kunipenda ule ujinga kabla sijaolewa niliacha hata watu wanaonijua wanaona kabisa nimebadilika.
Tatizo jamani Mr hajawahi kwenda zaidi ya dk 5 na hajawahi kurudia round ya pili kwa miaka yote 3 yaani akipanda dk 5 kamwaga ana sukari kwahiyo hawezi kurudia mzunguko wa pili labda baada ya wiki au wiki 3.
Naumia jamani nateseka, najuta boyfriend tuliyependana sana hadi leo hajaoa, anasema kama hakunioa mimi hataoa maishani kwani ananipenda, financially bado hayuko vizuri ila ni mtafutaji tunakaa mikoa tofauti so kukumbushia sio kivile mara nyingi tunachat tu kwa hisia boyfriend ananishauri niombe talaka kanisamehe turudiane.
Mume wangu namuonea huruma kwasababu ni mtaratibu mno ananipenda ananijali zaidi ya nguvu za kiume sababu ya sukari ambayo tumeshahangaika sana kutibu najuta wanawake wenzangu I have all the money a wanted but AM NOT HAPPY kuweni makini msitake tu kuolewa.Am 29 Mr is 48 nimejitahidi kufupisha.
Msinitukane jamani