ushauri wa kisaikolojia unahitajika hapa haraka...msaada tafadhali wakuu!!


The Magnificent

The Magnificent

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
2,693
Points
1,250
The Magnificent

The Magnificent

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
2,693 1,250
Wakuu, heshima kwenu!

Nimekuwa kwenye mahusiano na wasichana tofauti kwa vipindi tofauti kwa muda sasa…na hatimaye nikaamua kutulia na mmoja baada ya kujitambua vema na kuamua kuishi maisha hasa yanayompendeza Mungu.

Katika mahusiano yangu yaliyopita, wapo waliostahili kuachwa,wapo walioonewa na wapo walioamua kuniacha wenyewe na kuamua kuolewa.

Sasa tatizo linakuja hapa…mwanzoni mwa mwaka huu niliingia katika mahusiano na dada mmoja ambaye binafsi nampenda sana…hilo naomba nikiri kabisa…kwa maelezo yake, aliwahi kunambia ashawahi kuwa na mpenzi (ambaye alikuwa wa kwanza kwake ie aliyembikiri) na anakiri alimpenda sana lakini bahati mbaya jamaa ake huyo alimuacha bila sababu za kueleweka akabaki singo mpaka nilipomtongoza mimi ndo akaingia tena kwenye mahusiano mapya,kwa hilo naweza kumuamini kutokana na ushahidi wa kimazingira.

Sasa tatizo linakuja hapa,ule uwezo wangu wa kujiamini kwake umepungua sana ukilinganisha na mpenzi wangu aliyepita kwa sababu mpenzi wangu aliyepita alinipenda sana(yeye) sio mimi na nilifikia hatua ya kuachana nae kwa kuheshimu hisia za moyo wangu tu…..sikuwahi kumpenda nay eye alinipenda sana….sasa nahisi mzimu wa dada yule unaniandama sana….

Pili,nahisi msichana huyu niliye nae sasa hanipendi kama nilivyopendwa awali na labda siku moja labda anaweza kuja kurudi kwa mpenzi wake wa zamani aliyemuacha kwa sababu tu kunai le dhana ya kwamba msichana humpenda mwanaume aliyemtoa bikira muda wote na hata kama atakuwa kaolewa na mwanaume mwigine kurudi kule ni possible(sina uhakika na hili,ni stori tu za mtaani…wadada nisaidieni hapa ukweli wa hili)

Anaonesha ananipenda(sitaki kuusemea moyo wake…) na anaonesha kuridhika kabisa na mapenzi anayoyapata kwagu….

Sasa basi,nifanyeje ili nimuamini dada huyu katika aspects zote kama nilivyoelezea hapo juu?

2.Ni kweli mwanamke anawezakupenda tena mara ya pili (kama/zaidi ya hata alivyowahi kupenda katika mahusiano yake ya kwanza hasa kwa mwanaume aliyemtoa bikira?)-hapa ningependa kuambiwa na wahusika wenyewe

3.nifanyeje basi ili nimuamini dada huyu kwa kiwango kikubwa ili kuyaimarisha mapenzi yetu ili nisonge mbele sasa?
Sipendi kuishi tena maisha niliyowahi kuishi awali…na ninamshukuru mungu mpaka sasa nipo safi, naomba sana wanajamvi ushauri wenu uwe wa kujenga mahusiano haya na sio kunirudisha nyuma tena kule nilikotoka…….[/FONT]

Nawasilisha kwa ushauri wakuu!

the Magnificient!

Nov,2012
 
kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Messages
4,838
Points
2,000
kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2009
4,838 2,000
fanya kama wamiliki wa daladala,asubuhi unampa dereva costa yako mpya na unamuamini jioni atakurudishia gari yako na hela..mapenzi kama biashara kaka bila kuaminiana hayaendi.
take your chance
 
Hoshea

Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,214
Points
2,000
Hoshea

Hoshea

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,214 2,000
nakujibu swali la kwanza, we amini tu anakupenda peke yako, usishike simu yake usimhoji hoji her whereabouts as long as she's there when you need her nawe upo akikuhitaji, mengine anasa, u just play yo part efficiently kwa hiyo relationship, wasiwasi, maswali mengi, unnecessary jealousy itakufanya akuone hujiamini, u'll be pushing her away inch by inch, kifupi jiamini sana.
alafu jambo jingine nmekusoma mkuu wewe t seems yo past relationship haunts you, unaogopa ulivowatenda nawe utatendwa vivyo hivyo, ondoa hayo mawazo, me wishing you all the best na huyo mumyto.
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Kama wewe utampenda kwa dhati na kusahau hiyo "mizimu" naye atakupenda. Nadhani kama nawe utasikiliza hiyo mizimu na kutaka kukumbushia amini usiamini naye atakumbushia. Kwa vile amekupa ukweli ili ukuweke huru wasi wasi wako ni wa nini? PIa usitatizwe na swali kuwa mwanamke anaweza kupenda mara mbili. Kama wewe unaweza kwanini yeye asiweze? Na kama huwezi kwanini yeye aweze? Fuata golden rule kuwa usimtenze mwenzio usivyotaka kutenzwa.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,836
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,836 2,000
Hivi hujui kwamba Bikira ni pochi lako? achana na hadithi za mitaani Mwanamke mwenye maadili akishakuwa na mtu mwingine biashara za wazamani zinakuwa hazipo unless labda kama umechukuwa changu dowa asiyejiuza rasmi.
 
Himawari

Himawari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
2,337
Points
2,000
Himawari

Himawari

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
2,337 2,000
[FONT=&amp]Wakuu,heshima kwenu !![/FONT]

[FONT=&amp]Nimekuwa kwenye mahusiano na wasichana tofauti kwa vipindi tofauti kwa muda sasa…na hatimaye nikaamua kutulia na mmoja baada ya kujitambua vema na k[/FONT]uamua kuishi maisha hasa yanayompendeza Mungu..[FONT=&amp][/FONT]

[FONT=&amp]Katika mahusiano yangu yaliyopita,wapo waliostahili kuachwa,wapo walioonewa na wapo walioamua kuniacha wenyewe na kuamua kuolewa..[/FONT]

[FONT=&amp]Sasa tatizo linakuja hapa…mwanzoni mwa mwaka huu niliingia katika mahusiano na dada mmoja ambaye binafsi nampenda sana…hilo naomba nikiri kabisa….kwa maelezo yake,aliwahi kunambia ashawahi kuwa na mpenzi(ambaye alikuwa wa kwanza kwake ie aliyembikiri) na anakiri alimpenda sana lakini bahati mbaya jamaa ake huyo alimuacha bila sababu za kueleweka akabaki singo mpaka nilipomtongoza mimi ndo akaingia tena kwenye mahusiano mapya,kwa hilo naweza kumuamini kutokana na ushahidi wa kimazingira…[/FONT]

[FONT=&amp]Sasa tatizo linakuja hapa,ule uwezo wangu wa kujiamini kwake umepungua sana ukilinganisha na mpenzi wangu aliyepita kwa sababu mpenzi wangu aliyepita alinipenda sana(yeye) sio mimi na nilifikia hatua ya kuachana nae kwa kuheshimu hisia za moyo wangu tu…..sikuwahi kumpenda nay eye alinipenda sana….sasa nahisi mzimu wa dada yule unaniandama sana….[/FONT]

[FONT=&amp]Pili,nahisi msichana huyu niliye nae sasa hanipendi kama nilivyopendwa awali na labda siku moja labda anaweza kuja kurudi kwa mpenzi wake wa zamani aliyemuacha kwa sababu tu kunai le dhana ya kwamba msichana humpenda mwanaume aliyemtoa bikira muda wote na hata kama atakuwa kaolewa na mwanaume mwigine kurudi kule ni possible(sina uhakika na hili,ni stori tu za mtaani…wadada nisaidieni hapa ukweli wa hili) [/FONT]

[FONT=&amp]Anaonesha ananipenda(sitaki kuusemea moyo wake…..) na anaonesha kuridhika kabisa na mapenzi anayoyapata kwagu….[/FONT]

[FONT=&amp]Sasa basi,[/FONT]
[FONT=&amp]1.nifanyeje ili nimuamini dada huyu katika aspects zote kama nilivyoelezea hapo juu?[/FONT]

[FONT=&amp]2.Ni kweli mwanamke anawezakupenda tena mara ya pili (kama/zaidi ya hata alivyowahi kupenda katika mahusiano yake ya kwanza hasa kwa mwanaume aliyemtoa bikira?)-hapa ningependa kuambiwa na wahusika wenyewe[/FONT]

[FONT=&amp]3.nifanyeje basi ili nimuamini dada huyu kwa kiwango kikubwa ili kuyaimarisha mapenzi yetu ili nisonge mbele sasa?[/FONT]

[FONT=&amp]Sipendi kuishi tena maisha niliyowahi kuishi awali…na ninamshukuru mungu mpaka sasa nipo safi,naomba sana wanajamvi ushauri wenu uwe wa kujenga mahusiano haya na sio kunirudisha nyuma tena kule nilikotoka…….[/FONT]

[FONT=&amp]Nawasilisha kwa ushauri wakuu!!!.........[/FONT]

[FONT=&amp]@The Magnificient!![/FONT]

[FONT=&amp]Nov,2012.[/FONT]
Hayo maisha ya kumpendeza Mungu mbona hayaaonekani kwenye hii thread yako!??
Kubadilisha mademu na kungonoana (uasherati) ndio waita maisha ya kumpendeza Mungu?!
Muogope Mungu kijana kama kweli wamjua Mungu!

Mtenda akitendewa..., eti mzimu wa demu wako wa zamani! Hivyo unavyojisikia ni manyunyu subiria masika yenyewe! Ulizoea kucheza na mioyo ya watu sasa ni zamu yako!
Kama vipi muache na huyo maana aliyekupenda hukujali hisia zake sasa unalalamika nini?!
Extremely selfsh.., pyuuuuuuuuuuuuu!
 
K

kisukari

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Messages
4,311
Points
2,000
K

kisukari

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2010
4,311 2,000
punguza presha,ukiangalia ya nyuma,inakuwa ngumu kusonga mbele.muhimu kwako ni ku enjoy na mpenzi wako,bila kufikiri maybe itakuwa hivi au itakuwa vile.usiyaendekeze sana mapenzi.na mambo ya kuulizana relationship za nyuma sio mazuri,ni kujitia presha au kudanganywa tu,wewe wa 2 pengine sio wa 2
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
Hayo maisha ya kumpendeza Mungu mbona hayaaonekani kwenye hii thread yako!??
Kubadilisha mademu na kungonoana (uasherati) ndio waita maisha ya kumpendeza Mungu?!
Muogope Mungu kijana kama kweli wamjua Mungu!

Mtenda akitendewa..., eti mzimu wa demu wako wa zamani! Hivyo unavyojisikia ni manyunyu subiria masika yenyewe! Ulizoea kucheza na mioyo ya watu sasa ni zamu yako!
Kama vipi muache na huyo maana aliyekupenda hukujali hisia zake sasa unalalamika nini?!
Extremely selfsh.., pyuuuuuuuuuuuuu!
jamani alichezea zamani now anaishi maisha ya kumpendeza Mungu,usimfanye arudi nyuma, mwaya tulia na amini uliyenaye anakupenda kwa dhati, kwa kawaida mdada akiwa boken heart na akaja kumpata anayemuonyesha upendo hua anapenda mara mbili ya kwanza na atajuta kwa nini amechelewa kukufahamu, ondoa hizo sauti unazoziita mizimu na uwekeze penzi lako kwa huyo kipya kinyemi,mtapendana tu na mapenzi yatadum milele, kwanza wengi walio kwenye ndoa hawako na theitr first lover.....................................
 
EXTERMINATOR

EXTERMINATOR

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
344
Points
0
EXTERMINATOR

EXTERMINATOR

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2011
344 0
wangu alinipenda zaidi ya nilivyompenda, nikamtoa bikira, nikazaa naye, baada ya miaka saba tukafunga ndoa, sasa nampenda zaidi ya mwanamke yeyote yule. We are leading a happy life.
 
V

Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Messages
1,826
Points
2,000
V

Von Mo

JF-Expert Member
Joined May 7, 2012
1,826 2,000
jiulize:
do you love her?
will you marry her?
mambo ya mwili ni ya mwilini, mambo ya rohoni ni ya rohoni.
""Akawauliza hiyo shilingi ina picha ya nani? wakasema ni ya kaisari, akawaambia vema mpeni kaisari" ya kaisari mpeni kaisari, ya Mungu mleteeni Mungu.

Mke mwema anatoka kwa Bwana, Jiulize ulishawahi kuomba Mungu akupe Mke wa aina gani? kama hujawahi, haya uliyoyafanya siyo ya Mungu, Rudi utubu na umwulize kwamba huyu uliye naye ndiye?

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>all the <<<<<<<<<<<<<<<<<<<best
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,020
Points
2,000
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,020 2,000
hebu twende taratibu kwanza.....

hivi nyie wanaume huu upuuuuuupu(samahani nimetumia lugha hiyo) amewaambia nani? nani kawadanganya?[FONT=&amp]Pili,nahisi msichana huyu niliye nae sasa hanipendi kama nilivyopendwa awali na labda siku moja labda anaweza kuja kurudi kwa mpenzi wake wa zamani aliyemuacha kwa sababu tu kunai le dhana ya kwamba msichana humpenda mwanaume aliyemtoa bikira muda wote na hata kama atakuwa kaolewa na mwanaume mwigine kurudi kule ni possible(sina uhakika na hili,ni stori tu za mtaani&#8230;wadada nisaidieni hapa ukweli wa hili) [/FONT][FONT=&amp][/FONT]
[FONT=&amp][/FONT]

unachohitaji ni kujiamini tu, na kumbuka mapenzi ni mchezo wa kujitoa muhanga, unapenda unatoa moyo wako ukitarajia mazuri...yakienda sawa unashukuru, yakibuma unanyanyuka unakung'uta vumbi na kusonga mbele....

ili ufurahie penzi usiwaze kesho wala usifikirie kutengana.....

[FONT=&amp]Sasa tatizo linakuja hapa&#8230;mwanzoni mwa mwaka huu niliingia katika mahusiano na dada mmoja ambaye binafsi nampenda sana&#8230;hilo naomba nikiri kabisa&#8230;.kwa maelezo yake,aliwahi kunambia ashawahi kuwa na mpenzi(ambaye alikuwa wa kwanza kwake ie aliyembikiri) na anakiri alimpenda sana lakini bahati mbaya jamaa ake huyo alimuacha bila sababu za kueleweka akabaki singo mpaka nilipomtongoza mimi ndo akaingia tena kwenye mahusiano mapya,kwa hilo naweza kumuamini kutokana na ushahidi wa kimazingira&#8230;[/FONT]

[FONT=&amp]Sasa tatizo linakuja hapa,ule uwezo wangu wa kujiamini kwake umepungua sana ukilinganisha na mpenzi wangu aliyepita kwa sababu mpenzi wangu aliyepita alinipenda sana(yeye) sio mimi na nilifikia hatua ya kuachana nae kwa kuheshimu hisia za moyo wangu tu&#8230;..sikuwahi kumpenda nay eye alinipenda sana&#8230;.sasa nahisi mzimu wa dada yule unaniandama sana&#8230;.[/FONT]

[FONT=&amp][/FONT]

[FONT=&amp]Anaonesha ananipenda(sitaki kuusemea moyo wake&#8230;..) na anaonesha kuridhika kabisa na mapenzi anayoyapata kwagu&#8230;.[/FONT]

[FONT=&amp]Sasa basi,[/FONT]
[FONT=&amp]1.nifanyeje ili nimuamini dada huyu katika aspects zote kama nilivyoelezea hapo juu?[/FONT]

[FONT=&amp]2.Ni kweli mwanamke anawezakupenda tena mara ya pili (kama/zaidi ya hata alivyowahi kupenda katika mahusiano yake ya kwanza hasa kwa mwanaume aliyemtoa bikira?)-hapa ningependa kuambiwa na wahusika wenyewe[/FONT]

[FONT=&amp]3.nifanyeje basi ili nimuamini dada huyu kwa kiwango kikubwa ili kuyaimarisha mapenzi yetu ili nisonge mbele sasa?[/FONT]

[FONT=&amp]Sipendi kuishi tena maisha niliyowahi kuishi awali&#8230;na ninamshukuru mungu mpaka sasa nipo safi,naomba sana wanajamvi ushauri wenu uwe wa kujenga mahusiano haya na sio kunirudisha nyuma tena kule nilikotoka&#8230;&#8230;.[/FONT]

[FONT=&amp]Nawasilisha kwa ushauri wakuu!!!.........[/FONT]

[FONT=&amp]@The Magnificient!![/FONT]

[FONT=&amp]Nov,2012.[/FONT]
swali la nyongeza, na wale waliotolewa bikira na baiskeli nao wanapnda baiskeli maisha yao yote?

hayo ya kumpenda mtu daima eti kwa kuwa amekubikiri si kweli ni uongo tu mnaolishana wanaume
 
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,864
Points
2,000
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,864 2,000
hebu twende taratibu kwanza.....

hivi nyie wanaume huu upuuuuuupu(samahani nimetumia lugha hiyo) amewaambia nani? nani kawadanganya?

[FONT=&amp][/FONT]

unachohitaji ni kujiamini tu, na kumbuka mapenzi ni mchezo wa kujitoa muhanga, unapenda unatoa moyo wako ukitarajia mazuri...yakienda sawa unashukuru, yakibuma unanyanyuka unakung'uta vumbi na kusonga mbele....

ili ufurahie penzi usiwaze kesho wala usifikirie kutengana.....


swali la nyongeza, na wale waliotolewa bikira na baiskeli nao wanapnda baiskeli maisha yao yote?

hayo ya kumpenda mtu daima eti kwa kuwa amekubikiri si kweli ni uongo tu mnaolishana wanaume
Nimeupenda huu mchanganuo!kudos....thats the truth
 
majany

majany

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2008
Messages
1,225
Points
1,225
majany

majany

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2008
1,225 1,225
swali la nyongeza, na wale waliotolewa bikira na baiskeli nao wanapnda baiskeli maisha yao yote?

hayo ya kumpenda mtu daima eti kwa kuwa amekubikiri si kweli ni uongo tu mnaolishana wanaume
[/QUOTE]

A very nice lesson except!!!baiskeli huondoa 'hymen' and not 'virginity'!!Being a virgin simply means you have never engaged in 'sexual intercourse'!!
Lakini asante kwa somo muruuuua
 
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,153
Points
2,000
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,153 2,000
asante shostito BADILI TABIA kwa ushauri mzuri.... mtoa mada pitia hapa!!!!
 
Last edited by a moderator:
The Magnificent

The Magnificent

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
2,693
Points
1,250
The Magnificent

The Magnificent

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
2,693 1,250
Hayo maisha ya kumpendeza Mungu mbona hayaaonekani kwenye hii thread yako!??
Kubadilisha mademu na kungonoana (uasherati) ndio waita maisha ya kumpendeza Mungu?!
Muogope Mungu kijana kama kweli wamjua Mungu!

Mtenda akitendewa..., eti mzimu wa demu wako wa zamani! Hivyo unavyojisikia ni manyunyu subiria masika yenyewe! Ulizoea kucheza na mioyo ya watu sasa ni zamu yako!
Kama vipi muache na huyo maana aliyekupenda hukujali hisia zake sasa unalalamika nini?!
Extremely selfsh.., pyuuuuuuuuuuuuu!
hivi unajua hujanisaidia kitu hapo?
 
lillies

lillies

Member
Joined
Oct 2, 2012
Messages
47
Points
95
lillies

lillies

Member
Joined Oct 2, 2012
47 95
Wewe ni mwanaume wa aajabu sana, ulipokua unapendwa hukuonesha ushilikiano sasa unaanza kutapatapa kama mfa maji.sasa unataka sisi tukusaidieje?
 
Himawari

Himawari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
2,337
Points
2,000
Himawari

Himawari

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
2,337 2,000
hivi unajua hujanisaidia kitu hapo?
Nimesaidia kwa kumuonyesha kuwa alichotenda kabla si cha kungwana..., ndio maana hata sasa hajiamini japo ana msichana mwingine!. Cha muhimu awatafute na kuwaomba msamaha wasichana aliowanyanyasa kimapenzi ndio ataweza kuwa na amani moyoni.
Kila la kheri.
 

Forum statistics

Threads 1,294,738
Members 498,025
Posts 31,186,504
Top