Wadau,
Nimeoa kama miaka mitatu iliopita tatizo nalotoka tubadilishane mawazo ni mwenza wangu mke kuanzia mwaka jana amekua akinipa unyumba kwa mbinde kweli.Naweza fukuzia wiki nzima nikawa...
I greet you my elders!
Huo ni ujumbe mahsusi niliopatwa kupewa na kimwana mmoja mzuri, niliyedumu naye kwa kipindi cha miaka miwili katika mahusiano bila kujua kuna mwanaume mwenzangu alikuwa...
Nahitaji mke so nimeamua kutafuta mchumba atakae kuja kwa my wife,sihitaji mwanafunzi wa sekondari,kama wa chuo poa,awe anajua majukumu yake,unaweza kunipata pia kwa namba...
Habarini wana MMU!
Katika mahusiano ya Mapenzi kuna kitu kimoja kikubwa sana! nacho ni kuachana na Mpenzi wako! Tukubalie kuwa hata kama mlipendana vipi na mpenzi wako,alikupenda vipi au ulipenda...
Habari zenu,
Nimeishuhudia mara mbili hivyo nawakumbusha akina kaka, mdada akisema sitaki muelewe maana utazua makubwa na hasa kama mwanamke mwenyewe ni wa uswahilini kwetu huku.
Juzi kuna...
Wabari Wakuu!
Maisha yetu yanazidi kubadilika kila kukicha, kuna mambo hapo mwanzoni hayakuwepo na kuna mengine pia yalikuwa yanatokea. Uolewaji wa wanawake katika jamii zetu kwa kipindi cha...
Ujumbe huu ni mahususi kwa wanaume wote walioko kwenye ndoa na wasiokuwa kwenye ndoa ambao hawajafikia viwango vya Forbes katika kumiliki hela.
Mungu anatupa fursa za kumiliki hela wengi wetu...
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha "Njia Panda" cha Clouds Fm, Dr Maro alikuwa anamuhoji mama mmoja wa Kihaya ambaye amefanya kazi ya kuuza "Papuchi" kwa zaidi ya miaka 25. Kazi hiyo alianzia...
Najua ni wengi walitamani kuiona lakini hawajafanikiwa. Nakukaribisha kwa moyo mkunjufu kwenye jamvi letu tujadiliane na kuelimishana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi.
Kuna faida...
Tunaweza tukasema tu ilimradi tuoneka lakini huo ndio Ukweli. Mwanamke ni miguu na makalio ndivyo vinavyomfanya awe na mvuto popote pale. Angalia tu Mwanamke mwenye sura nzuri na yule mwenye...
Wakubwa wenzangu bila shaka ni wazima wa afya. Siku hizi wadada wengi wakitolewa out hupendelea kunywa dompo.
Imebainika kuwa wadada wengi kumbe hawana nguvu za kike. Yaani hawawezi kuamsha...
Habari zenu wapendwa,
Jioni hii wakati narudi nyumbani nikiwa kwenye foleni ndani ya kibito changu mdogo mdogo from Posta town city to home daaah!
Tulikutana uso kwa uso na kijana aliyekuwa...
CHANGAMOTO IWE KAMA SEHEMU TU YA KUJIFUNZA, 'HOW'?
Wewe kama mwana mafanikio, ni lazima mpaka sasa uwe unajua ya kwamba hakuna kitu ambacho kinapatikana kirahisi tu. Kila kitu kina changamoto...
Dalili 20 za mwanamke asiyekupenda kwa dhati!
1 : Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali...
Salaam wakuu,
Poleni na harakati za maisha.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kadhaa.
Miaka miwili iliyopita, nilikutana na msichana mrembo ambaye ana kila sifa ya kuitwa mrembo. Ana umbo...
Salamu zenu wakubwa kwa wadogo?
Ishu iko ivi, nina rafiki yangu wa karibu ambaye ameniomba ushauri. Mimi binafsi sijui nimshauri kipi kizuri. Naileta mbele yenu, wana JamiiForum hasa wanaume...
Kuna huyu binti ambae takribani miaka saba iliyopita tulikua wapenzi, katika miezi 2 ya uhusiano akaniambia ana mimba yangu, wakati huo nilikua ndio nimepata kazi, miezi 6 ya ujauzito wa huyo...
Habari wanaJF,
Hivi karibuni nimempata mtoto mkali kutoka Ilala kwakweli yule dada ni mzuri wa haja, baada ya kuwa pamoja kwa siku kazaa tulipanga Jumapili ya Tar.7/2/2016 tukalambe asali kwa...
Salaaam wana MMU..
Leo nimekuja kuwapa heshima wapendwa wana MMU
1.Wana MMU wengi wao ni watu wasomi angalau elimu yao kuanzia form FOUR sababu ni vile vitu mnavyovipost vya kisomi
2.wana MMU...