Wanaume acheni kuhonga wanawake, jenga nyumba

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,738
3,198
Ujumbe huu ni mahususi kwa wanaume wote walioko kwenye ndoa na wasiokuwa kwenye ndoa ambao hawajafikia viwango vya Forbes katika kumiliki hela.

Mungu anatupa fursa za kumiliki hela wengi wetu tunaishia kuzitapanya ikifika fainali network zimeacha ku sense kazini wamekuja wamechukua kitengo chako vijana, unaanza kuugua kwa mawazo!

Ukipata hela nunua viwanja, jenga majumba ya kupangisha kadri utakavyo
weza achana na kununua magari mawili, matatu, manne unajiona mjanja!
acha kutapanya hela kwa kuhonga mistarehe ya wadada, mitoko, miharusi kila wiki!Khah.

Achia wanao urithi nawewe zikutunze uzeeni! Magari, wanawake, starehe zinapita maisha yako na ya watoto yapo!

Don't say idid not warn you!
 
Ujumbe huu ni mahsusi kwa wanaume wote waliokwenye ndoa na wasiokuwa kwenye ndoa.ambao hawajafikia viwango vya Forbes katika kumiliki hela.
Mungu anatupa fursa za kumiliki hela
wengi wetu tunaishia kuzitapanya ikifika fainali network zimeacha ku sense kazini
wamekuja wamechukua kitengo chako vijana,unaanza kuugua kwa mawazo!
ukipata hela nunua viwanja,jenga majumba ya kupangisha kadri utakavyo
weza.achana na kununua magari mawili,matatu,manne unajiona mjanja!
acha kutapanya hela kwa kuhonga. mistarehe ya wadada,mitoko,miharusi kila wiki! khah.
Achia wanao urithi.nawewe zikutunze
uzeeni! Magari,wanawake,starehe zinapita.maisha yako na ya watoto yapo!

don't say.idid not warn you!
Asante mkuu kwa mawazo mazuri naushauri mzuri kwa wanaume
 
Aamekoma, amekoma...
Amekooma...

Aamekoma, amekoma...
Amekooma...
Alidhani poa poa, kumbe sio poaaa Side Mnyamwezi...

Ni muongo mtu wa fixi aliwaharibu Mabinti...

Hana mapenzi ya kweli aliwalaghai wakina dada...

Mwishowe aliwatelekeza bila kutoa msaada...

Alikuwa mpenda sifa demu wake wa kwanza alikuwa Latifa...

Penzi halikudumu sana miezi kadhaa wakaachana...

Hii ilikuwa furaha kwake kamaliza haja zake...

Akaja akang'oa mwingine ni demu wa rafiki yake...

Yeye hatambui hilo anahamishia tu kwake...
 
image.jpeg
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    9.9 KB · Views: 29
Ni ujumbe mzuri Kwetu sisi vjana. Ila umeandika kwa jazba kidogo.

Ungetulia na Kupanga point zako vzuri huku ukitoa Ushauri kwa vijana nini cha kufanya pindi Mtu applies kwenye I humo mzuri anapotaka kujijenga, kwani kuna we zangu na Mimi hapa tunasomesha hadi wajukuu wa Mjomba wa Mama.
 
Ushauri mzuri kwa vijana wa sasa. Wengi wakipata kazi wakianza kushika hela utaona ana brevis or Altezza au subaru and so so. Alafu maisha yanakua samaki samaki, rapsodys, high spirit n.k. nivizuri wakajifunza kuwekeza for their future.
 
umewashauri vizuri sana,biashara ya kupangisha nyumba ni biashara isiyo na stress.bora mtu ukajijengea nyumba nyingi kadri Mungu alivyokubariki pesa.hata kikinuka kazini at least una nyumba zako mbili itasaidia sana.
 
kuna Afande mmoja hapo dsm aliamua kuwekeza ktk kujenga nyumba.sasa ananyumba 11 za kupangisha.hizo nyumba zilizaliwa na nyumba za kwanza.mwenye kuelewa na aelewe ushauri huo mmepewa vijana
 
Sasa na wanaoishi kwa starehe si watakufa njaa. (wamiliki wa kasino n.k)
 
Ujumbe huu ni mahsusi kwa wanaume wote waliokwenye ndoa na wasiokuwa kwenye ndoa.ambao hawajafikia viwango vya Forbes katika kumiliki hela.
Mungu anatupa fursa za kumiliki hela
wengi wetu tunaishia kuzitapanya ikifika fainali network zimeacha ku sense kazini
wamekuja wamechukua kitengo chako vijana,unaanza kuugua kwa mawazo!
ukipata hela nunua viwanja,jenga majumba ya kupangisha kadri utakavyo
weza.achana na kununua magari mawili,matatu,manne unajiona mjanja!
acha kutapanya hela kwa kuhonga. mistarehe ya wadada,mitoko,miharusi kila wiki! khah.
Achia wanao urithi.nawewe zikutunze
uzeeni! Magari,wanawake,starehe zinapita.maisha yako na ya watoto yapo!

don't say.idid not warn you!
Asante
 
Ukianza kufanya hivyo, sawa utakuwa na vitega uchumi ila umri utakuwa umekutupa mkono kufanya ya ujana... kila jambo na wakati wake...
 
Back
Top Bottom