Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 630
Habari wanaJF,
Hivi karibuni nimempata mtoto mkali kutoka Ilala kwakweli yule dada ni mzuri wa haja, baada ya kuwa pamoja kwa siku kazaa tulipanga Jumapili ya Tar.7/2/2016 tukalambe asali kwa mara ya kwanza.
Siku moja kabla ya tukio hilo yaani Jumamosi usiku wa kuamkia Jumapili tulichat akaniuliza kama nimewahi kupima H.I.V nikamjibu ndio nimepima mara nyingi na mimi nikamgeuzia swali hilohilo akanijibu ameshapima basi hapo hapo nikamwambia kesho ukija tutaenda kupima tena kabla ya gegedo, hakujibu hiyo text hadi leo hii.
Nimejaribu kumpigia mara nyingi hapokei, nimemtumia msg kibao lakini hazijibiwi na Leo ni Jumanne wakati gegedo ilibidi liwe juzi.
Kwahiyo wakuu niamini kama ameathirika au ameogopa tu kupima? Yaani sielewi! Lakini pia hajala hata mia yangu.