Heshima zenu wana MMU 2016

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Salaaam wana MMU..
Leo nimekuja kuwapa heshima wapendwa wana MMU

1.Wana MMU wengi wao ni watu wasomi angalau elimu yao kuanzia form FOUR sababu ni vile vitu mnavyovipost vya kisomi

2.wana MMU wengi wao ni wapenzi wa kusoma na sio kama asili za watanzania wengi ambao si wapenzi wakusoma na kuandika bali upendelea kuangalia picha kwenye fb,whatsupp lakini nyie hamko hvyo


3.Wana MMU wanapenda zaidi jamiiforum kuliko mitandao mingine kama mnabisha mtu aseme


MAWAPENDA NAWAKUBALI WATU WA HUMU NDANI...
 
kwel Mkuu hakuna kitu utaandika hapa usipate majibu na mawazo chanya na hasi. Ya kujenga na ya kubomoa mi nawapenda sana watu wa humu as long hatufahamiani ni raha tupu. Japo kuna time utashukiwa hadi unajionea aibu, nawaapreciate sana sana watu wa humu big up kwa wakosoaji, wapondaji, watoa mawazo mazuri Mungu awabariki sana. Ila kuna tatizo la story za kutungwa humu, naomba watu wazipunguze jamani hua zinachosha na zinakimbiza watu kutembelea humu, pia kupost kila ujinga sio sawa ukijamba unapost hii sio sawa
 
Na inabidi watu wabadilike kwa stori za kutunga na pia kuna watu wanatoa stori za kweli mfano kuna uzi kwenye jukwaa la ushauri alikuwa shoga kapona kwa sababu ya jf member
 
Mmu imebadirisha mtazamo wangu kimapenzi

Naipenda sana haipiti saa sijachungulia humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom