Ndoa yangu hatarini, napewa unyumba kwa kulazimisha

Ndoa yangu hatarini, napewa unyumba kwa kulazimisha

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
902
Reaction score
910
Wadau,

Nimeoa kama miaka mitatu iliopita tatizo nalotoka tubadilishane mawazo ni mwenza wangu mke kuanzia mwaka jana amekua akinipa unyumba kwa mbinde kweli.Naweza fukuzia wiki nzima nikawa napewa jibu nimechoka nimechoka, siku nikilazimisha anasema fanya basi, nibake sasa na mimi nakua nahamu nafanya bila ushirikiano wowote kama vile nafanya na maiti, lakini kutokana na ukame wakati mwingine namuacha chumbani na kwenda kufanya mastabesheni sebuleni.

Nimejaribu kila namna kujua tatizo nimeshindwa wakati mwingine shetani ananiingia nitafute mchepuko wa kukataa kiu yangu ila moyo mzito nampenda mke wangu lakini pia madhara ya kuchepuka mengi. Nimejitahidi kufwatilia kama kapata mtu mwingine hakuna ushahidi kwa hilo pengine anaridhishwa sijapata dalili hizo. Nimejitathimini kama nilimkosea hakuna hivyo nimeleta hapa mnisadie wadau kunusuru ndoa yangu.

Maana kunyimwa tendo la ndoa bila sababu maalumu napata wakati mgumu msaada kwa wakubwa humu.

Tatizo nini...tubadilishane uzoefu...

Salaam...wote inauma saana kutongoza wife ndani ya ndoa ili upate mzigo
 
Omba siku moja maongezi nae ya faragha siku moja au siku hiyo hiyo kabla hujafika nyumbani (namaanisha kwa kumtext), hii itamjenga kisaikolojia waweza mtoa out au hata hapo hapo nyumbani; mueleze jinsi unavyojiskia kwake then muulize shida iko wapi kwa nini anakufanyia hivyo labda kuna mahali huwa halidhishwi, au kuna style ambazo wewe unapenda ila yeye hapendi popote pale anapoona kua unakosea awe muwazi kukwambia , etc. Pia usisahau kutumia sauti nzuri namaanisha ya kucommand usitumie.
 
The best thing n kuongea nae, ila kwenye ndoa n jambo la kawaida kabisa wala usishangae!
Mtoe out mara kwa mara , msexchatishe before hamjaonana ukiwa uko kazini/away kidogo
Na pia jaribu kuabstain sio kila siku unataka uchi, kaa hata siku 2/3 kabla ya kutaka kuupakua mzigo
 
Zungumza nae mkuu, ni mkeo muweke wazi, ila tumia lugha nzuri
 
Wanawake wanaboa sometimes, wakishaingia kwny ndoa tendo lenyewe la ndoa ni shida, saa nyingine mpaka umtongoze tena wakati ni mkeo sasa Cjui aliolewa wa kazi gani. Kama kupika na kufua hata mie naweza mama ila kuna kitu kimoja siwezi ambacho ndicho hicho nilichokiolea
 
Wanawake wanaboa sometimes, wakishaingia kwny ndoa tendo lenyewe la ndoa ni shida, saa nyingine mpaka umtongoze tena wakati ni mkeo sasa Cjui aliolewa wa kazi gani. Kama kupika na kufua hata mie naweza mama ila kuna kitu kimoja siwezi ambacho ndicho hicho nilichokiolea
Sasa wewe ulipompata si umemtongoza, inakuwaje leo u ashindwa kutongoza? Kuna demu alitaka kunipa utamu wa fundi seremala kwa kumuimbia tu. Sababu bwana wake hamuimbii mambo madogo madogo ndio mnawafanya wake zenu tuwachape. Halafu mnalalama kwenye jamii forum mnaomba msaidiwe kifikra na misschaga, Havent saint na dada jambazi(Lara1).
 
Wadau nimeoa kama miaka mitatu iliopita tatizo nalotoka tubadilishane mawazo ni mwenza wangu wife kuanzia mwaka jana amekua akinipa unyumba kwa mbinde kweli,

naweza fukuzia wiki nzima nikawa napewa jibu nimechoka nimechoka siku nikilazimisha anasema fanya basi,nibake sasa, na mimi nakua nahamu nafanya bila ushirikiano wowote kama vile nafanya na maiti....

Lakini kutokana na ukame wakati mwingine namuacha chumbani na kwenda kufanyA mastabesheni sebuleni....

Nimejaribu kila namna kujua tatizo nimeshindwa wakati mwingine shetani ananiingia nitafute mchepuko wa kukataa kiu yangu ila moyo mzito nampenda mke wangu lakini pia madhara ya kuchepukA mengi....

Nimejitahidi kufwatilia kama kapata mtu mwingine hakunA ushahidi kwa hilo pengine anaridhishwa sijapata dalili hizo

Nimejitathimini kama nilimkosea hakunA hivyo nimeleta hapa mnisadie wadau kunusuru ndoa yangu.....

Maana kunyimwa tendo la ndoa biLa sababu maalumu napata wakati mgumu msaada kwa wakubwa humu...

Tatizo nini...tubadilishane uzoefu...

Salaam...wote inauma saana kutongoza wife ndani ya ndoa ili upate mzigo
Mimi natamani nikiowa mke wangu awe kama hivyo halafu aniambie nimbake. Yaani kila siku nitajifanya kama jambazi nikiingia ndani ya nyumba tu nampiga kwara halafu nambaka kila kona ya nyumba.
 
dini yako?kama muislam fuata sunna ya rasuli mwenyewe akili itamkaa sawa.alaf wala usimuombe mzigo kaa kimyaaa.
 
Wanawake wanaboa sometimes, wakishaingia kwny ndoa tendo lenyewe la ndoa ni shida, saa nyingine mpaka umtongoze tena wakati ni mkeo sasa Cjui aliolewa wa kazi gani. Kama kupika na kufua hata mie naweza mama ila kuna kitu kimoja siwezi ambacho ndicho hicho nilichokiolea
Ckujua kuwa umri ni kigezo cha mambo yote.. Mwanamke ndo hujenga nyumba bora,nzuri,na imara ya familia yako kijana. Waombe msamaha sana
 
Washirikishe viongozi wa kiroho. Huenda mkeo ana spiritual husband. Mungu akutie nguvu uweze kutatua hilo bila kutengeneza tatizo kubwa, maana ndio lengo la yule mwizi, muuaji na muharibifu.
 
Inawezekana njia ya uzazi wa mpango

Au uchovu...unamsaidia hata kazi au ndio nyie wanaume remoti? Ukifika kwako miguu juu matako chini remote mkononi, hadi soksi akuvue??

Au kuna jambo kubwa ulimkosea bado anakinyongo

Au alikubalu kuolewa ili avae shela tu hakukupenda kihivyo

Au uogi una majasho unanuka

Au unamrukia tu haimvutii kimapenzi

Keti nae mzungumze...michepuko sio solution
 
Moja kati ya sababu zinazopelekea kuyumba au hata kuvunjika kwa ndoa ni wanandoa kutokuwa wawazi wa wenza wao na kuyafuga matatizo ambayo wao wanahisi ni madogo na hayana madhara.......katika hali ya kuwa mwili mmoja ni jambo la kipuuzi kutokuwa muwazi kwa jambo lolote kwa mwenza wako...hasa mambo yanahusisha tendo la ndoa..ambalo ni moja ya nguzo inayoshikiria ndoa.......

Ndoa huzidi kuimarika ikiwa kila mmoja atamfurahia mwenzake kwa hali yoyote ile na panapotokea dosari yoyote basi huo ndio huwa mwanzo wa mahangaiko ya ndoa......

Kimsingi hakuna jambo au mambo yanayotokea tu.....hapana ipo sababu ya msingi na ya maana ya mkeo kukufanyia hivyo.....na kuna asilimia kubwa wewe kuwa ni sehemu ya tatizo......inawezekana kuna malalamiko ya mkeo kuhusu wewe ambayo wewe unayapuuzia......inawezekana kuna dosari katika mwili wako ambao unamkera mkeo lakini yeye akikuambia unajifanya kuwa huoni tatizo.....kumbuka tendo la ndoa linataka utayari wa kimwili na kiakili ili kila mmoja afurahie tendo....kasoro yoyote itakayojitokeza kati yake hata iwe ni ndogo kiasi gani inaweza kuondoa kabisa tamu ya tendo la ndoa......

Kwa mfano kuna mabadiliko yamejitokeza kwenye ndoa ambayo hapo mwanzo hukuwa nayo kama vile kitambi na vitu vingine kama hivyo...,na mpenzi wako hapendezwi navyo na akaamua kukuambia na wewe ukaapuuzia basi pia wewe ni tatizo......

Kwa mfano umekuwa na tabia ya kumparamia mkeo kila muda ambao wewe unajisikia kufanya mapenzi bila ya kujali mwenzako yupo katika hali gani kiafya na kiakili...huo ni ubinafsi wa mahaba na mwenzako akaamua kukuambia na wewe ukapuuzia kwa kuendekeza uanaume basi na wewe ni sehemu ya tatizo......

Kwa mfano umekuwa ukitumi madawa ya kuongeza urefu wa muda wa kubaki kwenye tendo bila ya kumtaarifu mwenzio na kupelekea kumuathiri mwenzio na kuwa kero kwake na yeye akakuambia lakini ukapuuzia basi na wewe ni sehemu ya tatizo....

Kwa kifupi ni kwamba kwa namna moja au nyingine lazima kuna sababu ya msingi ambayo wewe hukuiweka wazi hapa ndio iliyopelekea hali hiyo........inawezekana ikawa ni sababu ya aibu na unaona ni kujishushia hadhi kumuomba msamaha mkeo....lakini kwa kuwa maji yameshazidi unga huna budi kufanya hivyo kwa manufaa ya ndoa yenu.....

Hatua ya mwisho ni kiwashirikisha wazee au watu wenu wa karibu waliowazidi umri kwa suala la kunyimana unyumba sio kesi ndogo kwenye ndoa.....ukiachana na mambo mengine lakini hiyo ni moja ya sababu iliyopelekea nyinyi kufunga ndoa....hivyo basi matatizo yanayohusiana na hayo yanapaswa kushughulikiwa haraka iwezekanavyo.....kwa mustakabali wa ndoa yenu.....
 
Ni mambo mengi sana yanachangia.

Kabla hujakaa na mkeo kuyaongea unaweza kuanza kubadilika mwenyewe mtazamo wako kuhusu tendo la ndoa.
 
mi nadhani atakua anakosa hamu ya tendo la ndoa kutokana na masuala ya homoni n.k, nakushauri cheki na madactari wa haya masuala
 
Back
Top Bottom