2nzi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 259
- 227
Habari zenu,
Nimeishuhudia mara mbili hivyo nawakumbusha akina kaka, mdada akisema sitaki muelewe maana utazua makubwa na hasa kama mwanamke mwenyewe ni wa uswahilini kwetu huku.
Juzi kuna kijana kapigwa kichwani na watu wa hasira kali kutokana na kuitwa mwizi na mwanamke aliyembadilikia wakati walikubaliana wakagegedane, baada ya kuingia chumbani binti kaghairi akatoka bila kutoa utamu wakati amekula na kunywa vya jamaa.
Jamaa akatoka na simu, ndipo binti akaamua amuanzishie kelele za mwizi, kijana hakufa kwakuwa ilikuwa ni kitaa anachoishi.Lakini tukio kama hili lilitokea miaka ya nyuma kidogo tukiwa secondary, kuna mwanafunzi alipigwa hadi kufa kisa kumganda msichana wakati alishamwambia hamtaki kuna njemba mwingine yupo hapo kitaa,akaitiwa mwizi mpaka sasa hatunaye tena.
Usiwaze gharama, utapata nyingine zaidi.