Natafuta mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by Mtama, Nov 8, 2010.

 1. M

  Mtama Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji mke so nimeamua kutafuta mchumba atakae kuja kwa my wife,sihitaji mwanafunzi wa sekondari,kama wa chuo poa,awe anajua majukumu yake,unaweza kunipata pia kwa namba hizi,0652505115,0769072588 na 0786256380,umri kuanzia miaka 23 hadi 35
   
 2. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kazi yako tafadhali, tusijepeleka binti zetu kwa majambawazi ..........:nono:
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Karibu mkuu naona umeingilia kwenye jukwaa la mapenzi na si kujitambulisha. But utakuwa mwenyeji tu, hivi una id ngapi? Back to ze mada, nakutakia mafanikio mema katika kumpata umpendaye!
   
 4. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka kazi na incoming yako kwa mwezi,una biashara yeyote hapa mjini??kiwanja na gari tayari au ndo bado.......
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Bank detail za miaka 3 na kuendelea:bowl:
   
 6. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  safi sana....... MR upo?
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nipo nimekonda kwa kukukosa:smile-big:
   
 8. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahaaa, pole sana, nilikuwa nachakachua nanihii somewhere, ..... ngoja niseme taratibu wakereketwa wa kuchakachua wasije wakanisikia....
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmhhh kwa kweli
  naona kila mtu anayeingia anatafuta mpenzi/mchumba au antaka kuoa kabisa..
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kaka ingekuwa fresh kama ungejieleza kidogo kuhusu wewe mnyewe
  utuambie na umri wako....
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah kweli mungu katimiza hitaji la moyo wangu
  usiku nilioteshwa leo ntakutana na PUMBAZO LA MOYO WANGU JF
  sasa sweeeeeeeeeeet hat,baba watoto ebu fanya ivi
  kamwone finest au roy au teamo wakukague kwanza ao wakirizika basi mke umepata
  uje na funguo mokonon,hati ya nyumba (ya mbez si ya manzese)benk statement na vivuli vya certificate zako
  m here swwwwwetie watng 4u!!!!
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hivi kweli sisi ataweza kutu-afford kabla ya kukupa hivyo vitu ajiandae vizuri akiwa anakuja kwetu ili aongee vizuri na sisi otherwise itakula kwake
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145

  Mimi nitahitaji audited finacial accounts za miaka mitano iliyopita za biashara zake, kama zipo poa nampa green light aje kwako.
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  km ananipenda kweli atatenda km nilivyomwambia MCHUMBA ANGU MPYA MWENYEWE!!!!!!
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Katoa mawasiliano nadhani hataki watu wengine wajue kazi yake ila wale waliosiriasi.
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kwani huko kwenu hakuna wachumba, hata mtaani au kijijini kwenu.
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Watu wanajitoa fahamu..kaka sifa zote zipo je una kabati ya Mbeo?
   
 18. F

  Ferds JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangui kama ulitemea msaada humu umepotea njia,, ila kama unaifanya cku iende vyema basi hapa jf ndio penyewe hasa
   
 19. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Incoming ndo nini?? au ulikuwa unamaanisha incoming calls
   
 20. F

  Ferds JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  ndugu yangu kama ni jamatini basi pashaingia goro hapo, na hapakaliki tena, anua janvi uondoke, hivyo vigezo ulivyotangaziwa na huyo mchumba wako mtarajiwa vinatisha as if unataka kununua kampuni, bado utaambiwa na security deposits kiasi flani just jiandae
   
Loading...