Unywaji wa Dompo kwa wanawake ni ishara ya kukosa nguvu za kike

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,660
1,679
Wakubwa wenzangu bila shaka ni wazima wa afya. Siku hizi wadada wengi wakitolewa out hupendelea kunywa dompo.

Imebainika kuwa wadada wengi kumbe hawana nguvu za kike. Yaani hawawezi kuamsha hisia za mapenzi wao wenyewe (many women fail to have natural arousal of sexual desire or libido).

Kwahiyo ukiona umemtoa demu kwa ahadi ya mpambano wa 6 kwa 6 akaomba umnunulie dompo basi jua anataka kuinua ngenye zake artificially. Hana nguvu za kike.

Tatizo hili huwakumba zaidi wadada waliozifunua nyingi zaidi kuliko umri wao.

Habari ndiyo hiyo wakubwa wenzangu.
 
Ishala = ishara

Dompo kama wine nyingine yoyote haina uhusiano wowote na dawa za kuboost libido
 
No research no right to speak.Mtoa mada hapo juu kafanyia research kwa mtu aliyemtoa kabla na baada ya Kunywa dompo?
 
Wakubwa wenzangu bila shaka ni wazima wa afya.
Siku hizi wadada wengi wakitolewa out hupendelea kunywa dompo. Imebainika kuwa wadada wengi kumbe hawana nguvu za kike. Yaani hawawezi kuamsha hisia za mapenzi wao wenyewe (many women fail to have natural arousal of sexual desire or libido).
Kwahiyo ukiona umemtoa demu kwa ahadi ya mpambano wa 6 kwa 6 akaomba umnunulie dompo basi jua anataka kuinua ngenye zake artificially. Hana nguvu za kike.
Tatizo hili huwakumba zaidi wadada waliozifunua nyingi zaidi kuliko umri wao.
Habari ndiyo hiyo wakubwa wenzangu.
Na hio inadhihirisha jinsi ambavyo hana feelings na wewe.............
 
Wakubwa wenzangu bila shaka ni wazima wa afya.
Siku hizi wadada wengi wakitolewa out hupendelea kunywa dompo. Imebainika kuwa wadada wengi kumbe hawana nguvu za kike. Yaani hawawezi kuamsha hisia za mapenzi wao wenyewe (many women fail to have natural arousal of sexual desire or libido).
Kwahiyo ukiona umemtoa demu kwa ahadi ya mpambano wa 6 kwa 6 akaomba umnunulie dompo basi jua anataka kuinua ngenye zake artificially. Hana nguvu za kike.
Tatizo hili huwakumba zaidi wadada waliozifunua nyingi zaidi kuliko umri wao.
Habari ndiyo hiyo wakubwa wenzangu.
Asante Sana Kwa Utafiti Wako Toka Udom, Na Ndio MAANA Huwa Tunakiita Chuo Cha Kata.
 
mwanzo mwisho kiroba aina ya jogoo hutaki pita iv atakuja mwingine
 
Ninachofahamu ni kwamba wakati mwingine mwenzi wako hulazimika kunywa pombe(dompo or whatever) kwa lengo la kutafuta hisia za kimapenzi
 
Back
Top Bottom