Umeshawahi kukaa na mtu ambaye anakutegemea kwa kila kitu hasa ndugu au watoto wa ndugu zako, yaaani we unampa sapoti katika kila kitu na anaelewa shida unazopitia, lakini ikitokea siku unashida...
Wasalaam wana bodi,
Naomba kupata ufafanuzi wenu juu ya suala hili kua kwa mfano umekutana na binti wa dini tofauti,wazazi wake ni watu wadini sana lakin na wewe pia wazazi wako wana dini means...
A Story Bout A Woman,Who Made My Mother Cry,Made My Brother Look Like A Fool,Made A Mockery Of Our Family.
MY PART OF STORY:
Iam A Lastborn Among The Three Boys,Mabroo Wamenizidi,Wa Kwanza Miaka...
Nina mpenzi kama miezi 5 sasa,wakati anananifukuzia nilimchukulia poa,milimzingusha kama mwaka hivi ,baadaye akaenda ongea na shosti yangu amuunganishie,mwanzoni nilishikilia msimamo wa kumkataa...
How to 'discipline' your wife, Saudi style: Muslim family therapist advises men to 'beat spouses with a toothpick or handkerchief' and 'forsake them in bed'
Family therapist Khaled Al-Saqaby...
Nimeona huu ujumbe sehemu facebook, kinachonishangaza ni jinsi wanawake wengi walivyomsifu aliyepost, Chris Mauki, na kuufurahia ujumbe. Responses za wanawake ni kwamba, hata kama unagharimia...
HilijJambo huwa linanishangaza sana, watoto wa kike kuingilia mahusiano ya kaka zetu.
Mkaka miaka 36 anammke na watoto 3 hadi leo yako kwa wazazi.
Mambo mengine huwa mnajitakia sana sijui...
mm ni kijana wa miaka 23 nipo arusha ila nimzaliwa wa tanga mjin kipindi nipo tanga nilitokea kumpenda msichana momja nikamuomba tuanzishe uhusiano akakubali na tukawa katika mahusiano mara...
Ukiona mwanamke anakupa penzi akiwa mchafu, basi ameona unastahili uchafu, yaani kaona hauna thamani kabisa, hakupendi sana, au hakupendi kabisa. Labda wewe ni masikini, au kakuona mshamba mshamba...
Habarini wadau wangu,
Binafsi siko poa sana, na hata hapa nimejitahidi tu kuandika ila ki ukweli moody ya kuingia huku kwenye Social media imepungua kidogo. Sababu ni kua mimi nilijiaminisha sana...
Asalaam Aleikum!
Bwana Yesu asifiwe!
Nilimpenda sana kaka mmoja aliyekuwa mwalimu wangu, kumbe na yeye kwa wakati huo alikuwa ananipenda ila hakutaka kuniambia. Tuliheshimiana sana pia...
Niko kwenye mahusiano na mtu Kwa muda wa miaka 5 sasa. Mwanzoni aliniambia hajaoa na alikuwa anaishi hotel Kwa Sababu alihamishiwa mkoa nilipo Kikazi akitokea mikoa ya kanda ya ziwa.
Sana Sana...
BUSARA KWA WANAWAKE. YAFUATE HAYA MAHUSIANO YAKO YADUMU.
1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima na uthubutu...
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa...
Salamu kwenu nyote!
Moja kwa moja kwenye mada,licha ya kujibana matumizi ili kuhakikisha huyu sukari wa moyo wangu anang'aa na kutimiza mahitaji yake alipokuwa huku mkoani hatimaye kaamua kutoa ya...
Peoplezzzzz
Nauliza tanzania inaruhusu ndoa za mkataba yaani mnaweka makubaliano pande mbili na mnasaini kwamba hii ndoa ni miaka miwili au mmoja?
Na pale mkataba ukiisha mnarudi mezani tena...
‘Botellón’ is a group of people who meet in a public area to socialize and consume alcohol. The people buy the alcohol from local stores as a cheap alternative to an expensive night out. The...