ramadhani kimweri
Senior Member
- Apr 22, 2016
- 183
- 181
mm ni kijana wa miaka 23 nipo arusha ila nimzaliwa wa tanga mjin kipindi nipo tanga nilitokea kumpenda msichana momja nikamuomba tuanzishe uhusiano akakubali na tukawa katika mahusiano mara baada ya wiki akabadikisha namba ya simu na kuniambia lain yake imepotea lakin baada ya siku mbili lain ile ikawa anatumia dada yake na nilifanya naye mapenz siku moja tu basi mm nikaamua cha kwa sababu alikuwa hataki mm na yy tufanye mapenz nikaa naye hivyo hivyo ninamhudumia kama mtoto wangu wa kumzaa kila anacho taka nikampa kwa sababu nlimpenda kwa dhati. lakin siku ya mm kusafir kutaka kuhamia arusha nikamfuata kwao nikaongea naye tukaelewana na wazazi wake kuea mm ninaenda tafuta maisha ila mm mtoto wenu mungu akipenda nitamuoa baada ya kuja arusha tukawa tuna wasiliana kama kawaida chaajabu mwezi uliopita akanipigia simu kuwa yupo dar na nisimpigie simu mpaka atakapo rud tanga nikaa kimya mbaada ya mda akanipigia nimesharud tanga nikamwambia sawa lakin nikawa sina mapenz naye tena moyo wangu umekufa kabisa mawasiliano yakapungua jana akanipia simu nataka uongee na babu sawa babu akaanza kunitukana na kukebehi kunidharau na kunitolea vitisho kama sitomuoa mjuu wake atanifanyia kitu kibaya maishan mwangu ma mm kwa sasa simpend tena nisaidien