Salamu kwenu nyote!
Moja kwa moja kwenye mada,licha ya kujibana matumizi ili kuhakikisha huyu sukari wa moyo wangu anang'aa na kutimiza mahitaji yake alipokuwa huku mkoani hatimaye kaamua kutoa ya moyoni.
Bint toka aende huko tanzania (dsm) amebadilika sana anadai mimi si handsom tena while befor she left alikuwa ananiita hilo neno na maneno mengine kama beib lakina sasa hivi hola hiyo yote imetokana na kushindwa kumtumia hela ya kwenda kufanya manunuzi huko wanakokuita NAKUMAT.Ameniambia nishike hamsini zangu na pia sijui mapenz kama wanaume wa dar,kwa hiyo wadau nipeni ushauri kwa hayo yaliyonikuta