Mwanamke akikupenda na kukuthamini, atakua msafi mwili wake wote, anukie ili umpende

Somoe

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
754
282
Ukiona mwanamke anakupa penzi akiwa mchafu, basi ameona unastahili uchafu, yaani kaona hauna thamani kabisa, hakupendi sana, au hakupendi kabisa. Labda wewe ni masikini, au kakuona mshamba mshamba flani hivi.

Tabia ingine ijue, kama hataki au hapendi kukupa penzi au amelala kama zigo flani hivi ufanye yako umalize alale, au anakuambia fanya bwana nataka kulala nimechoka. Huyo mwanamke hakupendi.

Kama unafikiri hajui kujisafisha, umebugi mwe. Wanawake wote duniani wamefundishwa kujisafisha, siku ya kwanza kutokwa na damu ukeni, ndio utafundishwa usafi, labda huyo mwanamke awe mvivu au uchafu wake mwenyewe tu. Lakini hata kama mvivu vipi au mchafu vipi, akimpenda mwanaume utajituma na kujitaidi usafi ili ampendwe na hasiachwe.

Na kama unafikiri anakupenda kweli ila ni mchafu tu au ni mvivu tu, mtishie kumuacha na muambie sababu yeye ni mchafu, uone matokeo. Kama atabadilika kweli anakupenda, ila ukiona habadiliki, basi jua hayo niliosema hapo juu..
 
Mkuu ungetumia hata kamsamiati ketu pendwa " PAPUCHI "
Kwa kweli ana kosa kutumia msamiati huo ila moderators nao wana kosa kubwa zaidi kuruhusu uzi kama huu kwenda hewani tena jukwaa hili.Najua wote watajitetea kwa kuweka doule m kwenye kamusi haitakupa maana yoyote lakini bado utovu wa maadili na ukakasi upo pale pale na sijui wanataka Jf yetu ifungiwe?
 
Lakini....haya uliyoyaandika yana ukweli kiasi kikubwa, mwanamke anaejiandaa kwenda kwa bwanaake anaempenda sana utajua tu. Uchafu au usafi wa mwanamke ndo huamua kiasi cha mapenzi atayopata kutoka kwa mwanaume...fact"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom